Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo Ukraine wameendelea kukinukisha Crimea. Hii kwa leo inatosha, si kwa maafa haya. Ghala kubwa la Silaha na risasi za Mrusi huko Crimea zimekwenda na maji. Sasa watafanyaje? Wafuasi wa Ukraine toshekeni.. Haya ni maangamizi makubwa, sione sababu ya kuendelea kupost leo. Tujipumzishe tuongalie hizi footages
View attachment 2325396
Pro Russia hawachelewi kusema hiyo ni video ya mabomu ya Gongo la Mboto 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom