Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ni mifumo ya ulinzi wa anga aina ya NASAMS-3 na IRIS-T Air Defense ikiwa imezungushwa kukinga nchi yote ya Ukraine. Hii ndo inafanya Urusi wasisonge mbele sababu Makombora yao hayapenyi. NASAMS-3 Systems inaweza kuzuia Makombora hadi Umbali wa 50km kutoka ilipo simikwa, huku IRIS-T Systems ikizuia hadi umbali wa 40km. Zimewekwa kwenye miji Mikuu ili kupunguza maafa sababu Warusi wanalenga kuua raia na kuharibu miundombinu
 
Hadi sasa Miji 11 ya Ukraine imelindwa. Bado mifumo mingine ya anga inakuja.

USA/Norway Wameahidi kuleta mifumo 8 aina ya NASAMS Air Defense Systems na Ujerumani imeahidi kuleta mifumo 3 aina ya IRIS-T Air Defense Systems.
 
Jana Majeshi ya Ukraine kwa mara ya kwanza tangu Vita ianze, wameingia Kherson rasmi. Yaani nusu ya Kherson ipo Ukraine hii leo. Urusi wamezidiwa. Tuone hii wiki inaishaje. Kherson tia maji tia maji kwa Urusi
 
122mm HE artillery projectiles ilotengenezwa na Pakistani Ordnance Factories (POF)
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-80BV
Your browser is not able to display this video.
 
Jana Majeshi ya Ukraine kwa mara ya kwanza tangu Vita ianze, wameingia Kherson rasmi. Yaani nusu ya Kherson ipo Ukraine hii leo. Urusi wamezidiwa. Tuone hii wiki inaishaje. Kherson tia maji tia maji kwa Urusi
View attachment 2339902
Dalili ya mvua ni mawingu. Kama Kirill (deputy) mtawala aliyesimikwa Kherson kashakimbia na kurudi moscow, maana yake kaona maji ya shingo, Kherson tena siyo territory yake. Moto uliopelekwa jana siyo wa kitoto.
 
Ghala la Silaha za Urusi huko Nova Kakhovka Kherson. Hii ni jana
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…