Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Wanajeshi wa Urusi wapo Kazakhstan, wamegoma Kurudi Urusi wakihofia kwamba wanaweza pelekwa Ukraine
20220828_013838.jpg
20220828_014108.jpg
 
Hii ni dalili Vifaa vya Urusi vinateketea kwenye Maghala. Hawa wanaleta mzigo mwingine kherson. Uliokuwepo umeenda wapi? Na kwanini hawasongi mbele? Hadi waishiwe ndo watashika adabu
 
Hii ni dalili Vifaa vya Urusi vinateketea kwenye Maghala. Hawa wanaleta mzigo mwingine kherson. Uliokuwepo umeenda wapi? Na kwanini hawasongi mbele? Hadi waishiwe ndo watashika adabu
View attachment 2337218
HIMARS inabidi awe na jicho kali sana kufuatilia huu mzigo unapotua ili auangamize kabisa.

Kwa namna vita hii ilivyo itafika mahala fashist ataishiwa silaha. Kikosi cha Drones cha Ukraine inabidi wafanye kazi kubwa ya kuwinda hizo thanks.
 
ndo maana awanajeshi wengi wa urusi wanakufa. Sababu wapo wengi, si rahisi kugundua. Hata vifaru vingi vimeungua, sema wanavyo vingi pia. Ila vitaisha tu
Yeah. Ni wengi na kwa kutokuwa na Idadi yao sahihi, ndo maana mizoga yao mingi inabaki maporini na kuwa mbolea ya ardhi ya Ukraine.
 
Hii ndo inaitwa Panzerhaubitze 2000 au kwa kifupi PzH 2000. Ni silaha ya Ujerumani aina ya 155 mm self-propelled howitzer. Unaambiwa Frontline ni moto wa kuotea mbali.
 
Back
Top Bottom