Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Aisee, Duh! hao jamaa ni noma. Ni mashujaa mno. Huko wanakoelekea na hizo chopa wakimkuta Mrusi cjui watamfanyaje kweli - Watamalizia hasira zao kwake; watamchakaza kwa hasira kali mno kwa sababu amewafanya wapite mahali ambapo haitakiwi na ni hatari kubwa kupita kwa ndege. Heko Marubani wa Ukraine.
Wanaporuka kimo cha chini wanakuwa wanakwepa air defence za adui.
 
Urusi wamekimbia kwa Miguu na kutekeleza Vifaru vyao baada ya kupelekewa moto
View attachment 2335410
Walifanya Hesabu(Calculation) la chap-chap wakagundua kwamba kwa kukimbia kwa miguu ni nafuu na salama zaidi kuliko vifaru (Hahahahaaa) kwa hiyo lililopo ni kutelekeza vifaru na kutimua mbio. Huo moto ulikuwa ni babu kubwa. 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️😂
 
Tunaposema Azov, muwe mnaelewa, ni Battalion ambayo kutokana na Maovu ya Urusi, Ubinadamu ulishawaisha. Waanaamin watakufa, hivyo wanahakikisha wanaua Warusi wengi kabla wao hawajafa. Hawaamin kwenye kujisalimisha kwani wenzao wamekufa bila hata kujisalimisha.. So wameapa kuua. Wale Warusi waliomba kujisalimisha ila sio mikononi mwa Azov, Walifuatwa na kikosi kutoka 93rd Brigade.
View attachment 2335164
Ndioooooo Azov watu makini
 
Ungetupia ka picha ndo ingenoga
Daraja la Antonovsky lilivyo shambuliwa bila kujali linalindwa na Urusi masaa 24
20220827_060033.jpg
20220827_060035.jpg
20220827_060038.jpg
20220827_060040.jpg
20220827_060122.jpg
20220827_060125.jpg
20220827_060128.jpg
 
Mbona mnawachukia hvyo warusi

BIG YES,

Kama wao wanavyowachukia wa Ukraine. Unyama waliofanya BUCHA haumithiriki.

Pili wewe tulifurahia huo uonevu wa kuvamia na kumpiga mwenzako bila kosa.

Tatu, unafuatilia unyama wanaofanya kwa raia (Civilian) kinyume na sheria za kivita.

Nne, wewe unafurahia wanavyopiga makazi ya watu (apartments) na kuharibu miundo mbinu na kuacha magofu.
 
WELL SAID,
Wamarekani wanapoenda vitani wanajali sana kuepusha casualities za raia, na hii imekuwa ikiwagharimu sana vita nyingi, Mmarekani mahali penye raia hapeleki moto!! Huyu mshenzi Mrusi yeye anapiga majengo bila sababu yoyote ya msingi, anarusha mabomu ovyo ovyo halafu anajisifia!!! Kama Ukraine angefanya kama Mrusi Crimea ingekuwa imesharudi.
 
Ni kweli. Warusi wasingekuwa wanatumia mwamvuli wa kujificha kwenye makazi ya watu na vifaru vyao, hii vita ingekuwa imeshaisha na Crimea ingekuwa tayari imeshakombolewa.

Ndiyo maana Ukraine wameamua kutumia mbinu mbadala wa kuwamaliza nguvu warusi kwa kukata njia ya supplies ya silaha na kusaka maghala ya silaha ili wayaangamize. Hii itawafanya warusi waondoke wenyewe (retreat) bila kuleta madhara makubwa kwa raia na mali zao.

Tumeshuhudia vita vya maporini wanavyoangamizwa na vifaru vyao. Kwenye miji vita imekuwa ngumu sana sababu adui wanajichanganya na raia. Wanaweka vifaru kwenye fensi za watu. Warusi wanajificha kwenye nyumba za raia. Ndiyo maana Ukraine wanahitaji Drone za kutosha kutafuta vifaru na warusi kwenye makazi ya watu.
 
Back
Top Bottom