figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,321
Drone huwa haiendi bure. Hata hawa wawili walokufa inatosha. Bandubandu humaliza gogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Drones kwenye Mapori zinawatesa sana. Ndiyo maana wanakimbilia kwenye makazi ya watu.Drone huwa haiendi bure. Hata hawa wawili walokufa inatosha. Bandubandu humaliza gogo
View attachment 2334047
Sasa nimeelewa kwa nini Drones wanaziogopa wakiziona.Kuonewa na Urusi sasa basi. Kibao kimegeuka
View attachment 2334783
Ni hivi...Anatokea mpuuzi mmoja (Mtu binafsi au Serikali)na kuanzisha kampeni ya kuwaaminisha watu kwamba wanaonewa, wanadhulumiwa, Hawatendewi haki, wanafanyiwa ulaghai n.k.n.k.
Wewe wacha kasumba! Sasa vitendo kama hivi mtasemaje? Huku ni kutiwa chuki? Watu wana macho na masikio. Wanaona yanayofanyika
Aisee, Duh! hao jamaa ni noma. Ni mashujaa mno. Huko wanakoelekea na hizo chopa wakimkuta Mrusi cjui watamfanyaje kweli - Watamalizia hasira zao kwake; watamchakaza kwa hasira kali mno kwa sababu amewafanya wapite mahali ambapo haitakiwi na ni hatari kubwa kupita kwa ndege. Heko Marubani wa Ukraine.Ndege za Ukraine zinapita chini ya nguzo za umeme.
View attachment 2335409