Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia Urusi walivyojilipua. Hapa ni Belgorod
Your browser is not able to display this video.
 
Kherson. Frontline ya Ukraine.
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Ukraine, inawachukua Sekunde 75 kuhamisha M777 howitzer baada ya Shambulizi. Kazi kazi
Your browser is not able to display this video.
 
Haya Makombora ya Kimarekani ain aya 155mm shells unaambiwa yana kilo 47. Wenyewe wanakuambia ni standard kwa majeshi ya NATO sababu yanatumika kwenye meli za Kivita, Vifaru, howitzers nk. Huu mzigo upo Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Mvumo wa kombora. Warusi wakosa shabaha
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wanakula majivu Donetsk
Your browser is not able to display this video.
 
Vifaa vya Kijeshi vya Urusi vyateketezwa. Hapa kuna Vifaru vya Urusi aina ya T-64, BTR-80, MT-LB, na T-72, gari la kivita la Tiger, gari la Dt-30P aka "Vityaz" la Kirusi. Wenyewebwanaita multi purpose. Picha zinavutia kuangalia
 
Mhh. "Picha zinavutia kuangalia": Lakini kilichofanyika hadi mavifaa hayo ya Mrusi ikawa hivyo ni kazi nzito mno. Hongera majeshi ya Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…