Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi walificha Vifaru vyao kwenye hii miti. Drone ya upelelezi ya Ukraine ikaviona. Ikabidi vipelekewe moto.
Your browser is not able to display this video.
 
Raia wa Ukraine wa Mariupol aliyekubali ofa ya Urusi kwamba Ukikubali kuhamia Urusi utakuwa unalipwa, baada ya kula hela ya kwanza. Leo kaletewa fomu ajiunge na jeshi la Urusi aende Frontline. Kajitetea hapendi jeshi wala sio mwanajeshi, Urusi wamegoma kumuelewa. Wanataka arudi kuua nduguze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…