Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kazi ilikuwa moja. Kushusha mabomu na kusepa
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi inajisifu ina Ulinzi. Kumbe mikwara tu. Wanajeshi wanaiangalia Chopa ikisepa huku rubani akipiga mluzi
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati huo huo tumedondosha Chopa ya Urusi aina ya A Ka-52 (attack helicopter type) ikiwa inawasaidia kuwasindikiza Wanajeshi wa Urusi walokuwa wanaukimbia mji wa Bucha.
Your browser is not able to display this video.
 
Chopa ya Urusi aina ya Mil Mi-28. Ilikuwa inaletea Sekeseke Wanajeshi wa Ukraine. Wakaidondosha. Video hazikai Vizuri. Muwe mnazoom zifit simu zenu ili muone kwa uzuri
Your browser is not able to display this video.
 
Meya wa Irpin alipoitambekea Bucha baada ya kukombolewa toka kwa Urusi.
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wameikimbia Bucha, hadi wameshindwa kubeba mizoga yao. Hakuna watu waoga kama Urusi na washirika wao
Your browser is not able to display this video.
 
Wale Warusi walikuwa wanasema watu wa Bucha wajisalimishe au watawaua wote. Mwisho wa siku, Urusi wamwkimbia wao.
 
Hapa ni #Kyiv, tumeteka kifaru aina ya T-72B na magari mawili ya mizigo. Walijifanya kutumia gari la kiraia ila likadakwa. Vyote vifaa ni vya Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wameteka Satellite ya mawasiliano aina ya Auriga-1.2V portable karibu na mji wa Kyiv. Inatumika kusafirisha mawasiliano ya haraka na Salama kati ya Vikosi vya jeshi vilivyo Msitari wa mbele na Mkuu wa Jeshi
 
Hii picha ya muda sana na ilikuwa msafara wa mwanzo kabisa kuingilia uk
 
Ogopa mungu na technology
 
Hapa ni Kharkiv: Ukraine wameteka Vifaru adumu aina Barnaul-T 9S932-1 automated system vinavyofanyakazi ya Ulinzi wa Anga. Hivi ni vizima kabisa. Vitatumika.
 
Ogopa mungu na technology View attachment 2172581
Sasa niogope nini? Kwamba hawajaondoka au? Picha zipo nyingi. Mimi nimeweka Picha ya Warusi. Wapi nimeweka caption ya picha kwamba warusi wanaondoka? Au nia yako ubishi? Ngoja nikuache.. Nshaona wataka kunitoa kwenye reli. Ukweli ni kwamba Warusi wameikimbia Chernobyl. Usilete ubishi usio na maana.
 
Kabla ya Urusi kuvamia, Wananchi wa Bucha Ukraine walikuwa wanaishi kwa amani. Jana baada ya Urusi kuzidiwa nguvu, hasira wakahamishia kwa Wananchi.

Hapa ni Raia wakiwemo watoto waliouliwa na Majeshi ya Purtin wakizikwa kaburi la Pamoja Mjini Bucha. Wengine hata majina hayajafahamika.
Your browser is not able to display this video.
 
Hiki ni kifaru cha Urusi aina ya BMD-2 airborne IFV. Kilipigwa na Silaha ya Ukraine aina ya FGM-148 Javelin missile. Kifaru kimebaki majivu
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ndo FGM-148 Javelin launcher, Silaha ya Kimarekani. The FGM-148 Javelin (AAWS-M) inataka kifanana na Silaha ya UK aina ya NLAW.






 
Hii ndo Silaha ya United Kingdom, inaitwa Next generation Light Anti-tank Weapon (NLAW). Kazi yake ni kusambalatisha Vifaru. Imewasaidia sana Ukraine. Ina Teknolojia ya hali ya Juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…