Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni mwanajeshi wa Urusi alisaliti jeshi lake na kujiunga na Ukraine. Leo tumemuweka Frontline akaua Warusi 7 na kuteka wawili. Sasa tuna imani naye.. Sasa kesho tutampeleka Mariupol akapambane na kile kikundi cha Chechen
 
Leo tumewafurumusha Warusi, wakaacha vijiko Mezani ndani ya handaki
20220402_231445.jpg
 
Hapa ni karibu na Mkoani Kiev, hii Video ilichukuliwa na Mwanahabari wa Ujerumani Paul Ronzheimer akionesha Makaburi ya Vifaru vya Urusi. Siwezi post picha zote za Urusi jinsi walivyopoteza Ukraine leo japo hii Video ya juzi. Video ni nyingi sana. Nitashindwa andika maelezo.
 
Welcome to Ukraine🤣🤣🤣 Askari wa Ukraine kawambia Warusi. Wenzake wamekufa kama sisimizi. Angalia
 
Ila tarehe 01 April 2022, Warusi wameua raia wengi bucha. Iliniuma sana. Picha zinatisha. Mtu anakatiza na baiakeli anakula risasi
 
Urusi walijiamini sana. Walipokuja Kyiv wakawa wanaiba Pombe, Hela na kila kitu. Walikuwa wanajiona hamna wa kuwagusa. Angalia walivyokufa kama kumbikumbi. Hapa hakuna aliyeachwa. Kikosi kizima hakuba hata wa kutoa taarifa kwa uongozi wao aliyebaki. Zoom Video. Walijifanya kupiga mbizi wakaibuliwa na bomu😂😂
 
Walipotimuliwa kutoka Kyiv wakiwa wanaelekea Belarus, Magari mengi ya Urusi yalipata ajali, bila hata mtu kuwagusa. Kweli Warusi waoga🤣🤣
 
Wakuu, kuanzia saa saba leo 02 April 2022, hadi saa nne Usiku, hakuna kifaru cha Urusi wala Mlio wa risasi unaosikika Mkoa Mzima wa Kyiv. Maeneo yote yaliyokuwa yameshikiliwa na na Urusi karibia na mji wa Kyiv yamerudishwa. Nashukuru kwa Kunifuatilia. Kyiv hakuna Vita tena. Kama Hawa Wavamizi Wakirudi tutakutana kwenye hii thread. Sasa tuhamie Mariupol. Kyiv yote hakuna hata kitongoji au nyumba 10 ambayo kuna Askari wa Urusi
 
Naendelea kupost picha za maangamizi waliyo yapata Urusi. Ila hakuna Vita. Yaani hakuna majibizano ya risasi. Kama wameenda kujipanga, wanasubiriwa

Angalia kilichowakuta Urusi.
 
Mpiga picha za Kivita Frontline, Maks Levin hapatikani tangu 13 Machi 2022. Mara ya mwisho alikuwa Kyiv. Sasa sijui kakufa au yupo Mateka. Bado tunaamini hajafa. Warusi watakuwa wamemchukua mateka. Ila 70% atakuwa amepoteza maisha.
20220403_000423.jpg
 
Urusi wameua sana Wananchi Bucha. Wameua hadi mifugo. Ndo maana Warusi wakikamatwa, wanagongelewa Msumari Kichani. Yaani Warusi wakizidiwa wanapiga risasi kilakiumbe hadi paka.
20220403_001855.jpg
20220403_001852.jpg
20220403_001846.jpg
20220403_001842.jpg
 
Warusi watalipa. Washalemewa. Kila sehemu muhimu imerudi. Bado Mariupol tu
Uwanja wa ndege muhimu tumeurudisha mikononi mwa Ukraine.
 
Mashabiki wa Urusi tukiwaambia haya magari yote yaliteketezwa n hakuna liliorudi Urusi hawataamini. Tuliwawekea mtego, wanavyopenda sifa, eti tuna zana za Kijeshi kilometa 64 bado kilometa 10 Warusi waingie Kyiv. Hadi leo hakuna aloingia katikati ya Mji wa Kyiv na tunewafurumusha. Na barabara ya kwenda Belarus tumeikata. Watakimbilia wapi?
20220403_003212.jpg
 
Ukraine wamekata nji zote za kuingia Belarus. Askari wa Urusi wamewwmekwa mtu kati. Sasa tuone.. Si wamejifanya kuua watu Bucha kisha wanakimbilia Belarus?
20220403_002815.jpg
 
Ukraine wamejiokotea 9M22U Grad rockets. Ni faida sababu zinaweza kitumika kwenye BM-21 Grad multiple launch rocket systems za Ukraine. Warusi hawaamini walivyo kung'utwa Kyiv. Hawatarudi tena🤣🤣🤣🤣
20220403_095333.jpg
 
Magari ya Urusi yalivyo haribiwa. KamAZ fuel truck, MT-LB ambulance, UAZ, Akatsiya SPH967/
20220403_103300.jpg
20220403_103256.jpg
20220403_103254.jpg
 
Back
Top Bottom