Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Bakhumut is now Russian.
Unaweza kuwa unafurahia nchi kuvamia nchi nyingine kimabavu. Ila kwa taarifa yako sio Bakhmut tu. Pale Donetsk Warusi wameishi tangu 2014 kimabavu. Iweje useme leo? Sisi ndo tunawafurumusha hawaamini macho yao. Mfano Burundi ibamie tanzania halafu mtu aseme, Iringa sasa ni Burindi. Utamuona kama mjinga tu ambaye kichwa chake kimajaa mavi
 
Niliwaona kama Mamluki fulani hivi wakipigania upande wa Mrusi.
Nimekuelewa. mercenaries wote ambao wanavamia kama Urusi, tunawachukulia ni Warusi. Hata Wale Wasyria 28 walokufa, tunachukulia ni Urusi sababu wamekujakuua waukraine. Ukraine inapambana na Urusi, Wanajeshi wenu wakikamatwa msiwakane
 
Wakuu, itoshe kusema Urusi wamekufa hadi tumelipiza kusasi na kuchoka. Tumeteka vifaru mara 18 ya vifaru vilivyokuwepo. Mifumo ya jeshi na silaha ns risasi ndo usiseme. Sababu Urusi wameshakili wanajeshi wao wanakufa, sina sababu ya kupost mizoga yao. Wapo wengi wametapakaa wengine wanapumulia pua moja. Unamuacha afe kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…