figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,161
Nimefurahi kuona nyambizi zote za Urusi zimeondoka Ukraine. Ni hatua njema. Ni baada ya Intelejensia yao kugundua Jumamosi zingelipuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂Hao Warusi ni wapumbavu. Si wangelisubiri hapo ili wapate uthibitisho kwamba anayewashambulia ni NATO?. Jinga sana Urussi. Wanaendelea kubarikiwa kichapo kitakatifu hadi akili ziwakae sawa.
Aiseeee.....Putin tulimwambia mapema, kwa uchovu wa zana zake za Vita, hafiki popote. Sasa aanza kulazimisha mzungumzo. Hatutaki.. Waondoke kwenye mipaka ya Ukriane
View attachment 2358866
Watarudi tu kwao, hakuna njia..Na bado. Watakimbia sana- Warudi kwao Urusi haraka la sivyo watapukutishwa ndani ya ardhi ya Ukraine mpaka washangae.
👍 👍What you don't know is that the primary objective of the invasion was to subjugate Ukraine and to weaken NATO.
They proved wrong because NATO is becoming stronger after Finland and Sweden joined the alliance. They also failed to subjugate Ukraine after being pushed back to Belgorod.
Keep on cheating yourself. Putin is now recruiting private soldiers and offering them good pay package of up to £6,000. This is an indication that substantial number of Russian solders are being left in bushes and are decomposing. This has created a shortage of Russian military personnel. Time will tell.
What you don't know is that the primary objective of the invasion was to subjugate Ukraine and to weaken NATO.
They proved wrong because NATO is becoming stronger after Finland and Sweden joined the alliance. They also failed to subjugate Ukraine after being pushed back to Belgorod.
Keep on cheating yourself. Putin is now recruiting private soldiers and offering them good pay package of up to £6,000. This is an indication that substantial number of Russian solders are being left in bushes and are decomposing. This has created a shortage of Russian military personnel. Time will tell.
Baada ya vita kuisha wamama wengi watakuwa wajane hapo urusi. Waache wazubae Putin achukue wanajeshi.Wanawake waliondamana Moscow Urusi kupinga wanaume wao kupelekwa vitani Ukraine kwa lazima, wanekamatwa
View attachment 2363829
well noted with thanksPatriotic air defense system zinakuja
Mhh! Kwa mkong'oto walioupata hawatarudi kamwe hata wakipata hiyo ofa. Bado wana wenge la kilichotokea na hawaamini kama watakuwa salama.Ukraine wawaambie Urusi waje wachukue chuma chakavu chao kwa lazima
View attachment 2363839
Putin bhana. Hata wanawake wanampinga lakini bado amekaza shingo. Timbwili la akina mama ni noma sana. Tusubiri, muda ndo utakaosema.Wanawake waliondamana Moscow Urusi kupinga wanaume wao kupelekwa vitani Ukraine kwa lazima, wanekamatwa
View attachment 2363829
Mkuu Asante kwa kuendelea kuleta updates za vita Nashukuru Sana kuona Jeshi la Ukureine linazidi kuyakomboa maeneo yake.Ukraine wawaambie Urusi waje wachukue chuma chakavu chao kwa lazima
View attachment 2363839
WanakalibishwaUkraine wawaambie Urusi waje wachukue chuma chakavu chao kwa lazima
View attachment 2363839