😂😂😂 watu wana mambo. HIMARS anawacheki Katsaps.WanakalibishwaView attachment 2363974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 watu wana mambo. HIMARS anawacheki Katsaps.WanakalibishwaView attachment 2363974
Hadi raha. Kwa silaha anazopewa Ukraine, Putin lazima aombe poo. Akikomaza fuvu, lazima aote Busha kabla ya December.Unaambiwa hizi Six-wheel armored Toyota Land Cruiser zinazotengenezwa na SVI Engineering, ni teknolojia ya Afrika kusini ambayo inatumiwa na Marekani. Sasa haya Magari yapo Ukriane Frontline. Kikubwa ninkuangamiza drones za Urusi
View attachment 2363689
Atakuwa kajilaza kwa pozi tu porini. Katoboa ndonya kama mmakonde. 😂😂😂Warusi bana. Eti ooh.. Kapotelea Ukraine. Huyu hapa Kuzniecov
View attachment 2364002
Hahahaaa anakula upepoWarusi bana. Eti ooh.. Kapotelea Ukraine. Huyu hapa Kuzniecov
View attachment 2364002
Habari njema hizi,imekuaje wakaachiwa maana Putin si alikomaa nao?Wafungwa wa Azovstal waachiwa
Huu ni ushindi kwa Ukraine. Sababu ninavyo wajua Azov, wanarudi Frontline kuwasaidia wenzao Kherson.Wafungwa wa Azovstal waachiwa
Putin alikuwa anamtaka sana huyu swaiba wake.Mashari ya kubadilisha. Urusi wameachia wapiganaji wa Mariupol 215 huku Ukraine Wafungwa wale wanaotekwa 55 akiwemo Viktor Medvedchuk.
View attachment 2364232
Viktor naye kaachiwa. Asirudi tena Ukriane
Mbona huyo jamaa sasa ni mufilis kabisa.Putin alikuwa anamtaka sana huyu swaiba wake.
Wanaogopa kubaki yatimaWanawake waliondamana Moscow Urusi kupinga wanaume wao kupelekwa vitani Ukraine kwa lazima, wanekamatwa
View attachment 2363829
Hivi karibuni waziri(sikumbumbuki vizuri) ndani ya serikali ya Urusi alisema Marekani anaendasha maabara ya kuzalisha wapiganani ndani ya Ukrein.Aisee! Shukrani sana Mkuu. Hii clip nimeiangalia sijui zaidi ya x 5 lakini bado sitosheki na ninachokiona hapo esp. Wanajeshi Waukraine 3 hapo kushoto darajani walivyokuwa wanarusha Hand grenades(Cjui kama ndo hizo) na Warusi wakajibu lakini majibu yao hayakufua dafu na ikabidi watimue mbio kama kawaida yao. Sikuona mizoga lakini naamini itakuwepo tu - kwa nini watimue mbio? Yaani we acha tu, Ukraine ni Moto wa kuotea mbali. Pongezi Ukraine. Shikilia hapo-hapo: PELEKA MOTOOOOoooo tena kwa Sanaa.
Hapana mkuu; Hiyo ni kitu Real na huwa inatokea - kama umewahi kupita jeshini na ukashiriki mafunzo ya medani. Kumbuka yupo askari anayetoa mapigo(Risasi) kumlinda huyo aliyetoka nje ya kizuizi/kilindo hadi alipodash chini naye kujilinda na adui. Zaidi kuna kitu kama kupandisha mzuka fulani hivi i.e. hakuna kuogopa ila kuthubutu kunakuwa kwa kiwango cha hali ya juu.Hivi karibuni waziri(sikumbumbuki vizuri) ndani ya serikali ya Urusi alisema Marekani anaendasha maabara ya kuzalisha wapiganani ndani ya Ukrein.
Ni habari iliyokaa ki conspiracy fulan hivi ila nilichokiona kwenye hii clip uenda kwa mbali kukubaliana na hiyo conspiracy.
Si ujasili wa kawaida kukabiliana na Adui umbali wa mita 20 then unachomoka kutoka kwenye ukuta unaokukinga dhidi ya risasi na mabomu ya adui na kwenda kumshambulia.
Yaan jamaa katoka chini ya Daraja na kufuata maadui huku risasi zinapigwa kila sehemu.
Uenda si binadamu halisi, ndiyo maana askari wa Urusi wametimua mbio.