Can you provide evidence to us showing that Bhukumut is under control of Russian troops.Bakhumut is now Russian.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you provide evidence to us showing that Bhukumut is under control of Russian troops.Bakhumut is now Russian.
Zile Drones za Iran, zimeanza kuwa tishio kwa Artilley zetu na wanajeshi wetu maeneo ambayo wamezi-deploy.Wakuu, itoshe kusema Urusi wamekufa hadi tumelipiza kusasi na kuchoka. Tumeteka vifaru mara 18 ya vifaru vilivyokuwepo. Mifumo ya jeshi na silaha ns risasi ndo usiseme. Sababu Urusi wameshakili wanajeshi wao wanakufa, sina sababu ya kupost mizoga yao. Wapo wengi wametapakaa wengine wanapumulia pua moja. Unamuacha afe kwa amani
View attachment 2362909
Usiogope.Zile Drones za Iran, zimeanza kuwa tishio kwa Artilley zetu na wanajeshi wetu maeneo ambayo wamezi-deploy.
Inahitajika mbinu zaidi kulithibiti hili lisilete madhara kwenye frontline ya Ukraine.
Inasemekana putin sahv anataka kuipiga Ukraine vibaya mnoHuyu sniper wa Ukraine kaua Warusi wanne kwa wakati mmoja
View attachment 2363150
Patriotic air defense system zinakujaZile Drones za Iran, zimeanza kuwa tishio kwa Artilley zetu na wanajeshi wetu maeneo ambayo wamezi-deploy.
Inahitajika mbinu zaidi kulithibiti hili lisilete madhara kwenye frontline ya Ukraine.
"Warusi wanasakwa popote walipo"Magari ya Kimarekani aina ya MRAPs "MaxxPro, yakiambaa ambaa viunga vya Luhansk. Warusi wanasakwa popote walipo
View attachment 2363651
Mkuu, hizi zipo frontline kwaajili ya Drones. Japo na Marekane kaleta silaha mahusi kwa drone za IranWapelekewe na hizi tuone kama zimeiva kweli kweli;
View attachment 2363659
View attachment 2363661
View attachment 2363662