Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zile Drones za Iran, zimeanza kuwa tishio kwa Artilley zetu na wanajeshi wetu maeneo ambayo wamezi-deploy.

Inahitajika mbinu zaidi kulithibiti hili lisilete madhara kwenye frontline ya Ukraine.
 
Ukraine imepokea mzigo kutoka Iran 🇮🇷. Ni risasi za 122mm, 152mm HE projectiles (kwaajili ya D-20 howitzers 2S3 Akatsiya SPG). Zimetengenezwa 2022 kwa Order ya Ukraine. Kuna siku nilipost picha ya Risasi za Iran watu wakawa hawaamin. Vita biashara
Your browser is not able to display this video.
 
Unaambiwa hizi Six-wheel armored Toyota Land Cruiser zinazotengenezwa na SVI Engineering, ni teknolojia ya Afrika kusini ambayo inatumiwa na Marekani. Sasa haya Magari yapo Ukriane Frontline. Kikubwa ninkuangamiza drones za Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…