Wakuu, kuanzia saa saba leo 02 April 2022, hadi saa nne Usiku, hakuna kifaru cha Urusi wala Mlio wa risasi unaosikika Mkoa Mzima wa Kyiv. Maeneo yote yaliyokuwa yameshikiliwa na na Urusi karibia na mji wa Kyiv yamerudishwa. Nashukuru kwa Kunifuatilia. Kyiv hakuna Vita tena. Kama Hawa Wavamizi Wakirudi tutakutana kwenye hii thread. Sasa tuhamie Mariupol. Kyiv yote hakuna hata kitongoji au nyumba 10 ambayo kuna Askari wa Urusi