Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hadi raha. Kwa silaha anazopewa Ukraine, Putin lazima aombe poo. Akikomaza fuvu, lazima aote Busha kabla ya December.
 
Vijana wanaotoroka kwa ndege kutoka Urusi kukwepa Vita, wengi wanaelekea Uturuki. Nilichopenda ni jinsi ndege za Urusi zinakwepa anga la Ukraine🀣 wanajua wakikatiza zinadondoka sababu mitambo ya anga ipo active
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi karibuni waziri(sikumbumbuki vizuri) ndani ya serikali ya Urusi alisema Marekani anaendasha maabara ya kuzalisha wapiganani ndani ya Ukrein.
Ni habari iliyokaa ki conspiracy fulan hivi ila nilichokiona kwenye hii clip uenda kwa mbali kukubaliana na hiyo conspiracy.
Si ujasili wa kawaida kukabiliana na Adui umbali wa mita 20 then unachomoka kutoka kwenye ukuta unaokukinga dhidi ya risasi na mabomu ya adui na kwenda kumshambulia.
Yaan jamaa katoka chini ya Daraja na kufuata maadui huku risasi zinapigwa kila sehemu.
Uenda si binadamu halisi, ndiyo maana askari wa Urusi wametimua mbio.
 
Hapana mkuu; Hiyo ni kitu Real na huwa inatokea - kama umewahi kupita jeshini na ukashiriki mafunzo ya medani. Kumbuka yupo askari anayetoa mapigo(Risasi) kumlinda huyo aliyetoka nje ya kizuizi/kilindo hadi alipodash chini naye kujilinda na adui. Zaidi kuna kitu kama kupandisha mzuka fulani hivi i.e. hakuna kuogopa ila kuthubutu kunakuwa kwa kiwango cha hali ya juu.
Mkuu amini Hakuna watu wapiganaji wanaozalishwa maabara. HAIJAWAHI KUTOKEA NA HAITOKAA ITOKEE. Tusubiri labda wanasayansi watakuja na watasema neno hapa.
Kwenye Vita Uongo/Propaganda/Vitisho n.k. ni kitu cha kawaida sana ili kumtia HOFU adui. Adui mwoga ni adui aliyeshindwa tayari.
Watu/Wapiganaji wanaweza kupata mafunzo na mazoezi maalum na kwa muda mrefu e.g. Makomandoo hadi kuweza kufanya kama ulivyoona -japokuwa cjui kama hao walikuwa ni makomandoo au vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…