Hivi Mkuu; Odessa ilipigwa makombora baada ya Ukraine kuwa imeshapokea hizo anti Drones system (the Drone dome) au kabla? Hiyo data ya Google ni ya lini?Uwe una acha uongo. Odessa ili pigwa makombora. Na baadae UN ika omba port ya Odessa iwe huru kuruhusu nafaka kusafirishwa. Ebu tumia akili ndogo tu ya Google: Odessa Port Hited by Russian Forces uone maajabu ya Google
Ah! Mbona watakuwa wamemlamba kichwa kabla hajazifikia hizo nyuklia zake? Putin anao maadui wengi sana kwa sasa - Nje, Ndani na Miongoni mwa watu wake. Wote wanamlia Time tu ajichanganye kidogo waondoke na kichwa chake fasta.Mkwara wa ku'tishia nyukilia mimi nauita ni "Bogus Threats". Russia hawezi kutumia nyukilia anajua kabisa kitakachofuata dhidi yake na watu wake. U.S, NATO na washirika wata respond accordingly.
Mambo ni fire [emoji91] [emoji7] [emoji28]Pia NASAMS za marekani zimefika ili kukabiliana na Drones za Urusi.
View attachment 2368768View attachment 2368769View attachment 2368770View attachment 2368771View attachment 2368772View attachment 2368773
Muulize swali dogo, kuna Wanajeshi wa Urusi wamekanyaga Odessa? Hata hayo Makombora ni machache yaliyopenya. Wakati vita inaanza kila Mwananchi Odessa alipewa Bunduki AK 47.Hivi Mkuu; Odessa ilipigwa makombora baada ya Ukraine kuwa imeshapokea hizo anti Drones system (the Drone dome) au kabla? Hiyo data ya Google ni ya lini?
Thubutu! Mbona walishaomba na kuweka ahadi za mishahara minono kwa anayejiunga ikiwa ni pamoja na malipo kwa familia yake atakayoiacha nyumbani? Je, Walipata wangapi? Vijana wakwake yeye mwenyewe wanamkimbia - hawataki vita ya kijinga kihivyo.Wakiomba Afrika, wanaweza kupata vijana wengi wenye nia ya kupigana kwa kujiunga na jeshi lao
Hao hakuna haja ya kupoteza risasi. Ni sime tu na rungu au nondo. HahahaaaaWaliokuwa na Mafunzo ya jeshi ya Urusi tumewamaliza. Sasa tunawasubiri Mobilized
View attachment 2368989
Kwa mfano, kwa hapa kwetu vijana wengi wanatafuta nafasi za jkt n.k, kama watapewa hiyo fursa watajiungaThubutu! Mbona walishaomba na kuweka ahadi za mishahara minono kwa anayejiunga ikiwa ni pamoja na malipo kwa familia yake atakayoiacha nyumbani? Je, Walipata wangapi? Vijana wakwake yeye mwenyewe wanamkimbia - hawataki vita ya kijinga kihivyo.
Nasemaje? Vijana wengi wa hapa kwetu wanaotafuta nafasi za JKT wanafanya hivyo ili kupata sifa mojawapo ya kujiunga na JWTZ, Magereza , Polisi, Uhamiaji au Ulinzi kwenye Makampuni na baadhi ya Asasi zisizo za kiserikali. Halafu mkuu, unazungumzia vijana gani -wa hapa kwetu? Mbona vijana wa hapa kwetu ndo hao wanakimbizwa na panya rodi? Hivi watauweza mziki wa Frontline ya Ukraine??? Wewe unataka kuwaponza vijana wa kibongo wala chips dume hawana hata pumzi ya kukimbia. 😆 😆 😆 🏃♂️ Waache bhana vijana wetu waendelee kuvaa mlegezo kwa raha zao.Kwa mfano, kwa hapa kwetu vijana wengi wanatafuta nafasi za jkt n.k, kama watapewa hiyo fursa watajiunga
Mrussi anaoneshwa trailer - movie yenyewe mbado.Pia NASAMS za marekani zimefika ili kukabiliana na Drones za Urusi.
View attachment 2368768View attachment 2368769View attachment 2368770View attachment 2368771View attachment 2368772View attachment 2368773
Yap! wakakulane wao kwa wao.Wengi wameshafanya uharifu sana, EU hawawezi kubali hilo swala, ni sawa unamkaribisha adui kitandani.
Ukraine yatakiwa iwakubali afu iwape silaha wapambane dhidi ya urusi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni jalala la mizoga au mtu anafanya usafi kakusanya takataka.