Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mrusi anahesabu kura bila kuangalia kama ni yes au No, sasa amejuaje? Au anaotea? Kageuza karatasi🀣🀣🀣

Ardhi ya Ukraine haiwezi kuchukuliwa kwa makaratasi namna hii.
Your browser is not able to display this video.
 
Mobilized wa kwanza kadakwa🀣🀣anahema juu juu. Anadai alikuwa mobilized 21 Sept 2022. Kaletwa Frontline moja kwa moja.
View attachment 2370026
Hawa mobilized wanapewa ahadi lukuki, umaskini wao ndo unawaponza. Hawajaja kupigana Ukraine sababu ya uzalendo wa kupenda nchi yao bali ni njaa tu.

Wamezoea kuangalia movies za kivita, wanafikiri wanakuja kucheza cinema. Wakifika field ndo wanajua kumbe kuna keupe na kekundu.

Anahema kama mbwa koko.
 
Hawa sio Warussi esp. huyo wa kwanza hapo juu ni wasakatonge. Sasa analia nini si asubiri kupata hela?
... Russia is a huge country with a diversity of people. Mashariki ya mbali kule wanapatikana jamii zenye asili ya kijapan na kikorea. Kusini mashariki jamii za kichina na kimongolia; southe-west mchanganyiko wa kihindi (wahindi, wanepali, Pakistan, Afghanistan); west zinapatikana jamii zenye uzungu zaidi.

Jamii hizo "zikiingiliana" kwa miaka mingi you can guess the output - ndio manaa unaona kama sio warusi kwa maana ya warusi tunaowafahamu zaidi wa upande wa west ambao wana uzungu zaidi kuliko maeneo mengine ya Russia. Ila pia nakubali mamluki hawakosekani.
 
Shukrani kwa ufafanuzi. Nilidhani ni mmojawapo wa wanamgambo laki moja kutoka kwa yule "Mapanki"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…