... Russia is a huge country with a diversity of people. Mashariki ya mbali kule wanapatikana jamii zenye asili ya kijapan na kikorea. Kusini mashariki jamii za kichina na kimongolia; southe-west mchanganyiko wa kihindi (wahindi, wanepali, Pakistan, Afghanistan); west zinapatikana jamii zenye uzungu zaidi.
Jamii hizo "zikiingiliana" kwa miaka mingi you can guess the output - ndio manaa unaona kama sio warusi kwa maana ya warusi tunaowafahamu zaidi wa upande wa west ambao wana uzungu zaidi kuliko maeneo mengine ya Russia. Ila pia nakubali mamluki hawakosekani.