figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,581
Maneno tu. Hata umoja wa Mataifa hauruhusu kuingilia mipaka ya nchi kimabavu. Mfano Uganda ije iteke Kagera, ifanye igizo la kupiga kura ishinde iseme Kagera ipo Uganda? Akili matope. Alikosea, Mrusi alitakakiwa awaachie Waukraine wenyewe wapiga kura na wahesabu wenyewe. Sasa kura zimepigwa Urusi, muangalizi Urusi, Msimamizi urusi, mhesabu kura Urusi, mtangaza matokeo Urusi, Mshindi Urusi. Dunia haiwezi kubali. Hata taahira atagundua kama ni uongo huu.Naona putin ashachukua majimbo Ukraine na kuyafanya yawe chini ya urusi....
Ova
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Ubeberu una vituko sana.Maneno tu. Hata umoja wa Mataifa hauruhusu kuingilia mipaka ya nchi kimabavu. Mfano Uganda ije iteke Kagera, ifanye igizo la kupiga kura ishinde iseme Kagera ipo Uganda? Akili matope. Alikosea, Mrusi alitakakiwa awaachie Waukraine wenyewe wapiga kura na wahesabu wenyewe. Sasa kura zimepigwa Urusi, muangalizi Urusi, Msimamizi urusi, mhesabu kura Urusi, mtangaza matokeo Urusi, Mshindi Urusi. Dunia haiwezi kubali. Hata taahira atagundua kama ni uongo huu.
View attachment 2372981
View attachment 2372984
Mbele ya mtutu wa bunduki utakataa kupiga kura. Kumbuka kura zilikuwa za wazi.
Kumbuka wananchi wa hayo maeneo ni mateka wa Urusi. Ukiwa mateka unakuwa na sauti?
Mwenye nguo ya pundamilia kavaa mshipi au mkanda. Nimeshindwa kuelewa nielewesheni. 😂😂😂
Makadirio wanaweza kuwa wangapi?Wanajeshi wa Urusi waliopo Lyman wametangaziwa kwa Spika kubwa Wajisalimishe kwani wameshazungukwa na nchi yao imewatelekeza. Wamepewa muda wajisalimishe kabla ya kuteketezwa. Akili kichwani mwao sasa.
View attachment 2373310
Elfu tatuMakadirio wanaweza kuwa wangapi?
Mbwa koko wameuma meno 😂😂. Naona HIMARS au M270 kafanya yake.Angalia ngome ya Urusi ilivyoteke🤣🤣🤣
View attachment 2373447
Ukraine wakiikomboa Kreminna na Rubizhne watakuwa wamekata supply route ya kupeleka silaha Severodonetsk na Lysychans'k.Kikosi Maalum cha Ukraine kimevamia leo Usiku Kreminna karibu na Luhansk. Hiyo miliyo ya risasi ni Kikosi cha Ukraine, huyu anayeongea ni mrusi wakiwa wanaretreat. Hapo wanakimbia ni vufaa wameviacha. Walikuwa wanakuja kuwasaidia Wenzao waliozungukwa Lyman.
View attachment 2373482