Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Naona putin ashachukua majimbo Ukraine na kuyafanya yawe chini ya urusi....

Ova
Maneno tu. Hata umoja wa Mataifa hauruhusu kuingilia mipaka ya nchi kimabavu. Mfano Uganda ije iteke Kagera, ifanye igizo la kupiga kura ishinde iseme Kagera ipo Uganda? Akili matope. Alikosea, Mrusi alitakakiwa awaachie Waukraine wenyewe wapiga kura na wahesabu wenyewe. Sasa kura zimepigwa Urusi, muangalizi Urusi, Msimamizi urusi, mhesabu kura Urusi, mtangaza matokeo Urusi, Mshindi Urusi. Dunia haiwezi kubali. Hata taahira atagundua kama ni uongo huu.
63224640_303.jpg

AP22270412882612-750x500.jpg

Mbele ya mtutu wa bunduki utakataa kupiga kura. Kumbuka kura zilikuwa za wazi.

Kumbuka wananchi wa hayo maeneo ni mateka wa Urusi. Ukiwa mateka unakuwa na sauti?
 
View attachment 2372981
View attachment 2372984
Mbele ya mtutu wa bunduki utakataa kupiga kura. Kumbuka kura zilikuwa za wazi.

Kumbuka wananchi wa hayo maeneo ni mateka wa Urusi. Ukiwa mateka unakuwa na sauti?
Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Ubeberu una vituko sana.
 
Wanajeshi wa Urusi waliopo Lyman wametangaziwa kwa Spika kubwa Wajisalimishe kwani wameshazungukwa na nchi yao imewatelekeza. Wamepewa muda wajisalimishe kabla ya kuteketezwa. Akili kichwani mwao sasa.
 
Kikosi Maalum cha Ukraine kimevamia leo Usiku Kreminna karibu na Luhansk. Hiyo miliyo ya risasi ni Kikosi cha Ukraine, huyu anayeongea ni mrusi wakiwa wanaretreat. Hapo wanakimbia ni vufaa wameviacha. Walikuwa wanakuja kuwasaidia Wenzao waliozungukwa Lyman.
 
View attachment 2373482
Ukraine wakiikomboa Kreminna na Rubizhne watakuwa wamekata supply route ya kupeleka silaha Severodonetsk na Lysychans'k.

Wakifanikiwa hilo Severodonetsk na Lysychans'k wanazikomboa kiulaini.

Mbinu wanayotumia sasa hivi Ukraine ni kutohangaika na Warusi waliong'ang"ania kwenye miji mikubwa. Wanapambana kuzifikia main supply route zinazozunguka miji hiyo wazizibe kwanza ndo wanawashughulikia vizuri.

Hongera ukraine troops
 
Back
Top Bottom