Dah! Kumbe hata kutoroka Mrussi hajui. Naona wote waliojaribu kutoroka hakuna aliyefanikiwa. Wote Wamelambwa vichwa.Sasa yule Shaggy wa Urusi kafa, walimtelekeza Lyman. Akajifanya kutoroka. Bora wangewambia wajisalimishe, hii kutoroka inawaponza
View attachment 2373810
Mkuu; Huyo ametumwa.Umekosea mlango. Hii thread inahusu mafanikio ya Ukraine. Kwa upande wa mafanikio ya Urusi kapost kwenye thread husika. Jifunze ustaarabu na tumia akili kabla ya kupost. Hapa hatushindani na mtu bali tunapost yanayotuhusu. Acha kutuchafulia uzi kwa habari za uongo. Hii inahusu strength zetu.
Jamani dah! Mobilised alikuwa anataka kuoga au anataka kujisaidia? Hahahaaa; Risasi ya Ukraine imemrahisishia kuvua suruali chap. 😂 😂 😂 😂Mobilized 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2373746
Hapo sasa. Mrussi lazima poo imtoke.Special Force wa Frontline ya Ukraine wameshafika Lyman tayari. Waone hivi, hawa ni Makomandoo.
Hope Jumapili ya kesho itakuwa siku ya furaha kwa Ukraine. Kumbuka Lyman imezungukwa tu bado haijakombolewa. Ukraine inatumia akili nyingi kuingia huu mji. Wanahakikisha Warusi hawatoki
View attachment 2373738
Wahenga walisema "Penye wazee haliharibiki neno" Hao ndo Wazee wa HIMARS. Hawajawahi kumLet down mtu. Kama ni kutoa kichapo basi ujue ni kichapo kweli kweli hadi mtu anaomba poo. Mrussi(Putin) anajutia sana kitendo chake cha kuanzisha hii vita manake inamgharimu mno Vifaa/Mali; Akili (inampa stress), Imeyumbisha sana Uchumi wa nchi, Vijana wake askari wengi wameuawa na bado wanaendelea kufa, kuwa vilema; Kimataifa vita hii imemuumbua i.e. ni aibu kwake, amejiongezea/amejilimbikizia maadui na hakuna dalili hata chembe ya yeye kushinda katika vita hii.Hii mbinu tangu waanze offensive mission imekuwa ikitumika sana. Himars kazi yake ndio hiyo jamaa wako very strategic.
Aidha wanaripua depot za silaha au wana kata supply route kwa kuripua madaraja matokeo yake urusi wanakosa supply wana achia maeneo tu.
Kabla ya tangazo barabara ziliwekwa mitego sababu walijuwa watajifanya kutoroka. Waliambia waende vijiji vya jirani mikono ikiwa juu, wao wanapita na gari kama mshaleDah! Kumbe hata kutoroka Mrussi hajui. Naona wote waliojaribu kutoroka hakuna aliyefanikiwa. Wote Wamelambwa vichwa.
Yaani huwa unanipa raha hadi basi🤣🤣🤣Kha-Kha khaaaa! Utadhani ni mijusi ile mikubwa inaota jua kumbe ni mizoga ya watu. Aisee! Hadi inatia karaha kuitizama Ni nyingi....
Tuwaombee waendelee kuwa na kiburi ili ardhi ya Ukraine ipate rutuba ya kutosha. Hao 6 si haba watapungua taratibu.Kinacho waponza Urusi ni kiburi. Wanaambiwa wajisalimishe wanajidai kukimbia. Frontline ya Ukraine ikisema jisalimishe wanakuwa na uhakika wa kuwazunguka na kuwazidi nguvu. Hawa wamegoma kujisalimisha wakajifanya kukimbia hawakufika mbali.
Ushauri: Mtu mwenye mtutu akikupa nafasi ya kujisalimisha fanya hivyo. Ona sasa
View attachment 2373526
Wanavyoimba kwa bìdii utadhani wameambiwa asiyeimba hali ugali. 😂😂😂😂Warusi wanaimbishwa wimbo wa taifa wa Ukriane🤣🤣🤣
View attachment 2373722
Hata viatu vya kijeshi hawana; hii ni hatariWarusi wanaimbishwa wimbo wa taifa wa Ukriane🤣🤣🤣
View attachment 2373722
Amejikatia tamaaMobilized 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2373746
Ukraine wasikubali hayo mazungumzo. Wawakandamize ili liwe funzo. Kama ni mateka wa kubadirishana watapatikana mbele kwa mbele.Urusi Wanataka mazungumzo. Wanataka Ukraine iache kushambulia Lyman(To ceasefire) ili kunguza vifo.
Lakini jana Urusi waliambiwa wajisalimishe hawakutii. Walitaka wapetiwe petiwe.
View attachment 2373758
Acha ale maisha kwa siku alizobakiza kabla hajageuzwa kuwa mbolea. Wako so desperateMobilized 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2373746
Aisee ni wengi mno,nawaombea makamanda wa Ukraine wawadakeElfu tatu