Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia Ukraine tulivyo pelekewa moto, hiki kikosi kilienda kwenye kambi ya Urusi kuchungulia wanafanya nini. Hakuna aliyekufa🀣
View attachment 2376696
Tunamshukuru Mungu- Kicheko: Nyie mlienda kutafuta umbeya kwa kupiga chabo shauri zenu mie simo. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Tangu vita ianze, jana na leo ndo tumewaweza Warusi Mkoani Kherson. Wanaretreat kama hawana akili. Mbioo... 🀣🀣
View attachment 2377335
Upande wa magharibi mwa Kherson, Ukraine ililipua daraja mara kadhaa, kwa hiyo wanajeshi wa Urusi wa huko hawana re-inforcements., Kama walichelewa kukimbia kutoka ktk upande huo watapata shida sana.

Mtiti utakuwa upande wa mashariki mwa huo mto, huko ndo Warusi wamejizatiti zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…