Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Tangu vita ianze, jana na leo ndo tumewaweza Warusi Mkoani Kherson. Wanaretreat kama hawana akili. Mbioo... 🤣🤣
20221004_221210.jpg
 
Tangu vita ianze, jana na leo ndo tumewaweza Warusi Mkoani Kherson. Wanaretreat kama hawana akili. Mbioo... 🤣🤣
View attachment 2377335
Upande wa magharibi mwa Kherson, Ukraine ililipua daraja mara kadhaa, kwa hiyo wanajeshi wa Urusi wa huko hawana re-inforcements., Kama walichelewa kukimbia kutoka ktk upande huo watapata shida sana.

Mtiti utakuwa upande wa mashariki mwa huo mto, huko ndo Warusi wamejizatiti zaidi.
 
Back
Top Bottom