Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkoani Chernihiv Urusi wamepoteza Vifaru aina ya T-72B3 viwili aina ya BTR-82A vimeteketezwa
 
Dunia duara, eti leo Belarus inatoa Msaada kwa 😅Ukraine. Vifaa tiba. Au wameona mrusi hasomeki?
Your browser is not able to display this video.
 
Samahani kiongozi hv PUTIN tangu vita ianze amewai kwenda uwanja w vita kuwatembelea wanajeshi wake?
 
Wanajeshi wa Ukraine wakikwamua gari ya Urusi iliyokwamakwama. Ilivyokwama wakaitelekeza. Hii KamAZ-63968 Typhoon MRAP
Your browser is not able to display this video.
 
Samahani kiongozi hv PUTIN tangu vita ianze amewai kwenda uwanja w vita kuwatembelea wanajeshi wake?
Hata Urusi alipo kajificha. Haendi kuzika Magenerals na Commanders wake walokufa Ukraine. Anajua anawindwa.
 
Nilichojifunza vita inaharibu mno vifaa na kutengeneza screpa nyingi sana millions of tones.
 
Huyu dada anaitwa Iryna, alikuwa anafanya kazi za Upambaji Mkoani Bucha. Urusi wameondoka na roho yake. Bucha kumefanyika mauaji ya kutisha, nadhani Urusi walikuwa wanalipiza kisasi kwa jinsi walivyouawa pale Kherkyiv

Pale Bucha, Mbuzi, ng'ombe, mbwa paka, binadamu. Wote wamekula risasi. Sasa kuna askari wa Urusi waliotekwa wanaomba msamaha eti.
 
Propaganda za ukraine, wameenda mortuary kuchukua maiti wakazisambaza mtaani
 
Kifaru kimoja cha Ukraine kinaharibu Vifaru zaidi ya 12 vya Urusi. Urusi wanatembea kama kumbikumbi
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wwmepoteza Vifaru aina ya BMP-2 na T-72 variant
 
Estonia imeisaidia Ukraine vifaa kama anti-tank missiles, howitzers, anti-tank mines, recoilless anti-tank guns, automatic weapons, ammunition, disposable grenade launchers, hand grenades vyenye thamani ya 220 million euros.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…