figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #661
Mkoani Chernihiv Urusi wamepoteza Vifaru aina ya T-72B3 viwili aina ya BTR-82A vimeteketezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Urusi alipo kajificha. Haendi kuzika Magenerals na Commanders wake walokufa Ukraine. Anajua anawindwa.Samahani kiongozi hv PUTIN tangu vita ianze amewai kwenda uwanja w vita kuwatembelea wanajeshi wake?
Propaganda za ukraine, wameenda mortuary kuchukua maiti wakazisambaza mtaaniHuyu dada anaitwa Iryna, alikuwa anafanya kazi za Upambaji Mkoani Bucha. Urusi wameondoka na roho yake. Bucha kumefanyika mauaji ya kutisha, nadhani Urusi walikuwa wanalipiza kisasi kwa jinsi walivyouawa pale Kherkyiv
Pale Bucha, Mbuzi, ng'ombe, mbwa paka, binadamu. Wote wamekula risasi. Sasa kuna askari wa Urusi waliotekwa wanaomba msamaha eti.
View attachment 2176554View attachment 2176555
Ujerumani inasifika kwa ubora wa vifaru.Hivi Vifaru Ujerumani ilitaka kuviteketeza coz havina hazi. Ukraine imeomba kuvinunua vyote na amekubaliwa. Vitaendea moja kwa moja Mariupol. Hivi Vifaru vinafahamika kama Infantry fighting vehicle
View attachment 2175897
AiseeeeHivi Vifaru Ujerumani ilitaka kuviteketeza coz havina hazi. Ukraine imeomba kuvinunua vyote na amekubaliwa. Vitaendea moja kwa moja Mariupol. Hivi Vifaru vinafahamika kama Infantry fighting vehicle
View attachment 2175897
Kajificha KlemlinSamahani kiongozi hv PUTIN tangu vita ianze amewai kwenda uwanja w vita kuwatembelea wanajeshi wake?
Mortuary gani watu wamechafuka hivyo?Propaganda za ukraine, wameenda mortuary kuchukua maiti wakazisambaza mtaani