Anayewaambia wajieleze hajui kuwa kuna vita inaendelea. Labda kama missile yao imekosea ikalipiga daraja hapo sawa.Inadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. π€£π€£π€£
View attachment 2381361
Bado hajataka kuzitoa anasubiri NATO atoe zake ...mbona US anasita kutoa ATACMS kama kweli anadhani Russia kamaliza silahaHivi Mkuu, nani hana Nyukilia? Halafu Mrusi anazo za kizamani. Wenzio wanazo mpya. Sababu ana nyuklia ndo aachiwe Ukraine? Tutapambana
Hata mwanzo walidai ana vifaa bora vya kijeshi, lakini tumekuta wa kawaida sana.
π π π yaani ni kondoo machinjioni haoInadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. π€£π€£π€£
View attachment 2381361
Chelea chelea anakujashtuka mwana si wake tena π π π πBado hajataka kuzitoa anasubiri NATO atoe zake ...mbona US anasita kutoa ATACMS kama kweli anadhani Russia kamaliza silaha
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huenda nao wakawa fired. Maana Putin amebadirisha majenerali watatu sasa kuongoza vita Ukraine.Inadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. π€£π€£π€£
View attachment 2381361
Rudi tu munzehe kwani hata wa kule kijiweni kwako Iturike weshamtambua Zele ndiye mwamba na amepania kumzelembua Mrussi hadi aombe poo.Mkuu achana tu na Urusi itafanya nini, ila mie mwenyewe kwa vile nilivyowaaminisha watu kuwa week moja ni kibwa tutakuwa tumemzika Zele lakini hadi siku hii ya leo Super power yupo hoiπ€£π€£π€£ naogopa kurudi kijiweni kwangu Iturike View attachment 2381007
Never, NEVER. The New world and its advanced technologies will not allow or give chance to that stupid boy to temper with nuclear weaponry. They will destroy him before he reach the detonating buttons for mass destruction.
Nakazia hoja. Na maadam amesharopoka au kuonesha dalili, basi juhudi za makusudi zitaongezwa kwani Mkataba wa Kimataifa (UN)wa kudhibiti na kufuatilia Umiliki wa Nishati za Nyuklia unadai ni lazima kufanyike Ukaguzi na kutoa Taarifa.Hayo yanafanyika kwa kutembelea physically eneo husika, kutumia satellites, kutumia mabalozi/wawakilishi, n.k. Sambamba na hilo wenzake walishajiongeza wanatumia pia makachero wabobezi. Sio jambo jepesi kama linavyotishiwa katika mazungumzo kana kwamba ni sawa na kutumia manati au kombeo.Hivi Mkuu, nani hana Nyukilia? Halafu Mrusi anazo za kizamani. Wenzio wanazo mpya. Sababu ana nyuklia ndo aachiwe Ukraine? Tutapambana
Hata mwanzo walidai ana vifaa bora vya kijeshi, lakini tumekuta wa kawaida sana.
Ngoja nijikongoje kuanza kurudi mkuu ndio napandisha kalima ka Uyelevale hapaRudi tu munzehe kwani hata wa kule kijiweni kwako Iturike weshamtambua Zele ndiye mwamba na amepania kumzelembua Mrussi hadi aombe poo.
Never, NEVER. The New world and its advanced technologies will not allow or give chance to that stupid boy to temper with nuclear weaponry. They will destroy him before he reach the detonating buttons for mass destruction.
Picha inafikirisha sana. Jamaa π π hapo ni kama wanajaribu kutafuta jawabu la pamoja e.g. wanaweza kujadiliana hivi:- - OK. Ni kweli daraja limelipuliwa na tuliisha mhakikishia boss kwamba ulinzi wa pale darajani ni wa uhakika 100% halitokaa liguswe; lakini sasa limelipuliwa. Nyuso zetu tunazificha wapi? Tunaweza kufukuzwa kazi ujue.Inadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. π€£π€£π€£
View attachment 2381361
Baada ya Daraja kushambuliwa, Warusi waliokuwa wamehamishia Makazi Crimea, Wameanza kurudi kwao ili Daraja likakikatwa mazima, Frontline wa Ukraine wasiwakute. Sasa. Mchana wa lepale Darajani, imefika KM 7 ya Magari yanasubiri kukaguliwa ili yavuke kurudi Urusi.
View attachment 2381647
Wababe wanaishi kwenye mahandaki kama panya buku. Maajabu ya Mussa.,Mbona wababe wanaanza kuishi kama wakimbizi wanaotangatanga ivyo?
Karibu sana kiongozi hujachelewa. Habari za huku unakohamia zinahusu mtifuano mkali kati ya wavamizi(Urussi) na wanaoitetea ardhi ya nchi yao Ukraine. Kwa kifupi ni kwamba ndani ya wiki hii Mrussi amechapika isivyo kawaida yani kipondo anachopokea ni cha kiwango cha lami na anakimbia-kimbia hajui aende wapi. Mengine utayasikia mwenyewe- karibu sana mkuu.ππYap leo mnyonge nipo home nimetulia...nimeamua kuacha kushabikia mpira wa vilabu vya ulaya sasa nahamia Ukraine πͺπͺπͺ
Itakuwa bombing truck imepita juu ya mnara. Siyo ukraine πππRUSSIA: Mnara wa TV unawaka moto Moscow
View attachment 2381972