Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Inadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. 🤣🤣🤣
View attachment 2381361
Anayewaambia wajieleze hajui kuwa kuna vita inaendelea. Labda kama missile yao imekosea ikalipiga daraja hapo sawa.

Hata air base ya Crimea ilipopigwa walisema ni sabotage kwamba Ukraine haikulipua.
 
Hivi Mkuu, nani hana Nyukilia? Halafu Mrusi anazo za kizamani. Wenzio wanazo mpya. Sababu ana nyuklia ndo aachiwe Ukraine? Tutapambana

Hata mwanzo walidai ana vifaa bora vya kijeshi, lakini tumekuta wa kawaida sana.
Bado hajataka kuzitoa anasubiri NATO atoe zake ...mbona US anasita kutoa ATACMS kama kweli anadhani Russia kamaliza silaha

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Inadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. 🤣🤣🤣
View attachment 2381361
Huenda nao wakawa fired. Maana Putin amebadirisha majenerali watatu sasa kuongoza vita Ukraine.

Ngoja tuone Gen. Sergey kama ataweza mtiti wa Ukraine. Aliyefukuzwa hajamaliza hata mwezi na nusu. Mwaka huu lazima Putin alale kifudifudi.
 
Lieutenant Colonel Alexei Kondrashov amefia Ukraine. Angemshauri Vizuri Putin asingekufa leo. Walijua wanakuja kuua
20221009_135849.jpg
 
Mkuu achana tu na Urusi itafanya nini, ila mie mwenyewe kwa vile nilivyowaaminisha watu kuwa week moja ni kibwa tutakuwa tumemzika Zele lakini hadi siku hii ya leo Super power yupo hoi🤣🤣🤣 naogopa kurudi kijiweni kwangu Iturike View attachment 2381007
Rudi tu munzehe kwani hata wa kule kijiweni kwako Iturike weshamtambua Zele ndiye mwamba na amepania kumzelembua Mrussi hadi aombe poo.
We are on the blink to nuclear war

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Never, NEVER. The New world and its advanced technologies will not allow or give chance to that stupid boy to temper with nuclear weaponry. They will destroy him before he reach the detonating buttons for mass destruction.
 
Hivi Mkuu, nani hana Nyukilia? Halafu Mrusi anazo za kizamani. Wenzio wanazo mpya. Sababu ana nyuklia ndo aachiwe Ukraine? Tutapambana

Hata mwanzo walidai ana vifaa bora vya kijeshi, lakini tumekuta wa kawaida sana.
Nakazia hoja. Na maadam amesharopoka au kuonesha dalili, basi juhudi za makusudi zitaongezwa kwani Mkataba wa Kimataifa (UN)wa kudhibiti na kufuatilia Umiliki wa Nishati za Nyuklia unadai ni lazima kufanyike Ukaguzi na kutoa Taarifa.Hayo yanafanyika kwa kutembelea physically eneo husika, kutumia satellites, kutumia mabalozi/wawakilishi, n.k. Sambamba na hilo wenzake walishajiongeza wanatumia pia makachero wabobezi. Sio jambo jepesi kama linavyotishiwa katika mazungumzo kana kwamba ni sawa na kutumia manati au kombeo.
 
Baada ya Daraja kushambuliwa, Warusi waliokuwa wamehamishia Makazi Crimea, Wameanza kurudi kwao ili Daraja likakikatwa mazima, Frontline wa Ukraine wasiwakute. Sasa. Mchana wa lepale Darajani, imefika KM 7 ya Magari yanasubiri kukaguliwa ili yavuke kurudi Urusi.
 
Rudi tu munzehe kwani hata wa kule kijiweni kwako Iturike weshamtambua Zele ndiye mwamba na amepania kumzelembua Mrussi hadi aombe poo.

Never, NEVER. The New world and its advanced technologies will not allow or give chance to that stupid boy to temper with nuclear weaponry. They will destroy him before he reach the detonating buttons for mass destruction.
Ngoja nijikongoje kuanza kurudi mkuu ndio napandisha kalima ka Uyelevale hapa
20221005_113025.jpg
 
Ujerumani kuipatia Ukraine sare za msimu wa baridi na vifaa vyenye thamani ya euro milioni 11.

Ni takriban vitengo 100,000 vitapata sare za msimu wa baridi, hema zilizo na jenereta za kuzalisha umeme wa kuzalisha Joto.
20221009_154308.jpg
 
Inadawa Shoigu and Gerasimov waambiwa wajieleze kwanini Daraja li. Elipuliwa. Yaani jamaa anaona Ukraine wa kawaida. 🤣🤣🤣
View attachment 2381361
Picha inafikirisha sana. Jamaa 👆 👆 hapo ni kama wanajaribu kutafuta jawabu la pamoja e.g. wanaweza kujadiliana hivi:- - OK. Ni kweli daraja limelipuliwa na tuliisha mhakikishia boss kwamba ulinzi wa pale darajani ni wa uhakika 100% halitokaa liguswe; lakini sasa limelipuliwa. Nyuso zetu tunazificha wapi? Tunaweza kufukuzwa kazi ujue.
au Labda tumdanganye kwa majibu yenye hoja kwamba hiyo ni hujuma kutoka kwa taifa lingine sio Ukraine na ilitumika submarine ambayo mawimbi ya rada zetu hazikuona. Sasa hapo tumwingize chaka kwamba uchunguzi mkali unaendelea kila kona duniani kubaini mhusika. Lakini tutaulizwa kwani Urussi haina nyambizi ambazo zingeliweza kufuatilia?
Au Bro; tujitoe mhanga sisi binafsi tummalize kwa mapinduzi au tukodi majasusi waitekeleze kazi hiyo kwa niaba yetu.
Au Tuibue changamoto kubwa kwake binafsi au kwa nchi hii itakayomfanya alazimike kuachana na hoja ya kulipuliwa kwa daraja na ajikite zaidi kutafuta ufumbuzi wa changamoto hiyo e.g. Tuihujumu familia yake, au Tule njama na Ukraine ...........
Yaani kwa kifupi hiyo picha inazungumza mengi. Mkuu, Asante kwa picha fikirishi
 
,Mbona wababe wanaanza kuishi kama wakimbizi wanaotangatanga ivyo?

Baada ya Daraja kushambuliwa, Warusi waliokuwa wamehamishia Makazi Crimea, Wameanza kurudi kwao ili Daraja likakikatwa mazima, Frontline wa Ukraine wasiwakute. Sasa. Mchana wa lepale Darajani, imefika KM 7 ya Magari yanasubiri kukaguliwa ili yavuke kurudi Urusi.
View attachment 2381647
 
Yap leo mnyonge nipo home nimetulia...nimeamua kuacha kushabikia mpira wa vilabu vya ulaya sasa nahamia Ukraine 😪😪😪
Karibu sana kiongozi hujachelewa. Habari za huku unakohamia zinahusu mtifuano mkali kati ya wavamizi(Urussi) na wanaoitetea ardhi ya nchi yao Ukraine. Kwa kifupi ni kwamba ndani ya wiki hii Mrussi amechapika isivyo kawaida yani kipondo anachopokea ni cha kiwango cha lami na anakimbia-kimbia hajui aende wapi. Mengine utayasikia mwenyewe- karibu sana mkuu.😀😀
 
Back
Top Bottom