... ujumbe ninaoupata hapa ni kwamba; airforce zitapita; marine zitapita; ila infantry was there, it is here, and will be there to stay until the end of times! Huwezi kusema una jeshi imara kama jeshi la ardhini ni legelege no matter airforce na/au marine ziko imara kiasi gani.Zile NASAMS mbili zikifika anga litakuwa salama. Na makombora yao hayata penetrate kwenye ardhi ya Ukraine. Uimara wa jeshi ni kwenye battle field (frontline).
Makombora yake yanayotokea baharini, Belarus na Russia yatadhibitiwa.
Jana na juzi wamepiga makombora Kyiv, hakuna sehemu yamepenya. Mtambo wa Ujerumani inaonekana upo vizuri. Just apewe usaidizi. Tukipata mitambo 4,Mashariki Kusini na Kaskazini, Kyiv itakuwa salama. Sasa hivi Urusi inajiandaa kushambulia Kyiv kutokea Belarus sababu ndo karibu. Uzuri ishawekwa wazi. Ukraine itakuwa inapiga Kombora lilipo tokea. So Belarus ijiandaeZile NASAMS mbili zikifika anga litakuwa salama. Na makombora yao hayata penetrate kwenye ardhi ya Ukraine. Uimara wa jeshi ni kwenye battle field (frontline).
Makombora yake yanayotokea baharini, Belarus na Russia yatadhibitiwa.
Hapa Ukraine ikipata F-16 kadhaa tu, hiyo front ya Belarus kwisha habari yake!Jana na juzi wamepiga makombora Kyiv, hakuna sehemu yamepenya. Mtambo wa Ujerumani inaonekana upo vizuri. Just apewe usaidizi. Tukipata mitambo 4,Mashariki Kusini na Kaskazini, Kyiv itakuwa salama. Sasa hivi Urusi inajiandaa kushambulia Kyiv kutokea Belarus sababu ndo karibu. Uzuri ishawekwa wazi. Ukraine itakuwa inapiga Kombora lilipo tokea. So Belarus ijiandae
Hivi madaktari wa kijeshi huwa hawapo katika target ya adui?Au na wao wanachukuliwa kama wanajeshi wengine tuMadaktari wetu Frontline: Good morning
View attachment 2393390
Well narrated.... ujumbe ninaoupata hapa ni kwamba; airforce zitapita; marine zitapita; ila infantry was there, it is here, and will be there to stay until the end of times! Huwezi kusema una jeshi imara kama jeshi la ardhini ni legelege no matter airforce na/au marine ziko imara kiasi gani.
Na wao huwa wapo kwenye convoy ya frontline na ambulance zao. Ndiyo maana na wao wanakuwa na silaha za kujilinda. Majeruhi hutokea frontline, lengo ni ku save life ya askari aliyejeruhiwa apate huduma ya kwanza na baadae wampeleke Hospital za jeshi.Hivi madaktari wa kijeshi huwa hawapo katika target ya adui?Au na wao wanachukuliwa kama wanajeshi wengine tu
Kama baba anapigwa na kazidiwa, wewe mke (Belarus) ndo utaweza.?Jana na juzi wamepiga makombora Kyiv, hakuna sehemu yamepenya. Mtambo wa Ujerumani inaonekana upo vizuri. Just apewe usaidizi. Tukipata mitambo 4,Mashariki Kusini na Kaskazini, Kyiv itakuwa salama. Sasa hivi Urusi inajiandaa kushambulia Kyiv kutokea Belarus sababu ndo karibu. Uzuri ishawekwa wazi. Ukraine itakuwa inapiga Kombora lilipo tokea. So Belarus ijiandae
Ok, asanteNa wao huwa wapo kwenye convoy ya frontline na ambulance zao. Ndiyo maana na wao wanakuwa na silaha za kujilinda. Majeruhi hutokea frontline, lengo ni ku save life ya askari aliyejeruhiwa apate huduma ya kwanza na baadae wampeleke Hospital za jeshi.
Aaamen.Zile NASAMS mbili zikifika anga litakuwa salama. Na makombora yao hayata penetrate kwenye ardhi ya Ukraine. Uimara wa jeshi ni kwenye battle field (frontline).
Makombora yake yanayotokea baharini, Belarus na Russia yatadhibitiwa.
Uko sahihi kabisa mkuu. Nchi haitekwi au kukombolewa kwa airforce au marines. Infantry ndio mpango mzima ukitaka kuteka au kukomboa maeneo.... ujumbe ninaoupata hapa ni kwamba; airforce zitapita; marine zitapita; ila infantry was there, it is here, and will be there to stay until the end of times! Huwezi kusema una jeshi imara kama jeshi la ardhini ni legelege no matter airforce na/au marine ziko imara kiasi gani.
Madaktari wanakuwa nyuma. Wanalindwa sana.. Halafu Kisheria Magari ya Ambulance hayashambuliwi yana kinga. Hata msafara wa rais unapisha ambulance. Wanakuwa nyuma ya Frontline. Wapo na red cross. Sema Urusi hadi ambulance wanashambulia saba ni uharibifu. Urusi wanapambana hadi uraiani vijijini wanarusha makombora. Mashamba wanachoma moto na mifugo inapigwa risasi. Ukraine inadili na Wanajeshi tu.Hivi madaktari wa kijeshi huwa hawapo katika target ya adui?Au na wao wanachukuliwa kama wanajeshi wengine tu
Infants wa Urusi ni dhaifu. Ndo maana wanakimbia Frontline wanarusha Makombora kwenye makazi ya watu na miji mikubwa. Watu ambao wapo zao na mishe za ujenzi, ufugaji na masomo ndo wanarushiwa mabomu. Wanataka waonekane na wao wameua baada ya kushindwa kuua Wanajeshi wa UkrianeUko sahihi kabisa mkuu. Nchi haitekwi au kukombolewa kwa airforce au marines. Infantry ndio mpango mzima ukitaka kuteka au kukomboa maeneo.
Ambulance hawana Silaha, bali wanapewa Ulinzi na Frontline. Huwa wanatibu hadi matekaNa wao huwa wapo kwenye convoy ya frontline na ambulance zao. Ndiyo maana na wao wanakuwa na silaha za kujilinda. Majeruhi hutokea frontline, lengo ni ku save life ya askari aliyejeruhiwa apate huduma ya kwanza na baadae wampeleke Hospital za jeshi.
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi zaidi. Nadhani Mrussi anafikiri kwa kufanya hivyo labda nguvu itaelekezwa huko kuilinda miji mikubwa na maeneo ya makazi ya watu badala ya Frontline ambapo ameshachemka.Infants wa Urusi ni dhaifu. Ndo maana maana wanakimbia Frontline wanarusha Makombora makazi ya watu na miji mikubwa. Watu amabao wapo zao na mishe za ujenzi, ufugazi na masomo ndo wanarushiwa mabomu.
Yeye alisaidiwa leo kageuka mbogo..Mwaka 1941, Urusi ilipokuwa ikilitreat kutoka kwa WANAZI huko Kherson ililipua bwawa ambalo leo tena wanataka walililpue baada ya kuzidiwa na Waukraine.
Halafu watu wanajiuliza iweje USA imsadie Ukraine, Hiki kipande cha gazeti kinatwambia hata Urusi ilisaidiwa na Wamarekani wakati huo ikipambana na WaNAZI
View attachment 2393706
Asante kwa maelezoMadaktari wanakuwa nyuma. Wanalindwa sana.. Halafu Kisheria Magari ya Ambulance hayashambuliwi yana kinga. Hata msafara wa rais unapisha ambulance. Wanakuwa nyuma ya Frontline. Wapo na red cross. Sema Urusi hadi ambulance wanashambulia saba ni uharibifu. Urusi wanapambana hadi uraiani vijijini wanarusha makombora. Mashamba wanachoma moto na mifugo inapigwa risasi. Ukraine inadili na Wanajeshi tu.
Urusi wana roho mbaya. Mtu anachoma Maghala ya vyakula, unategemea awe na utu au kufuata sheria?
View attachment 2393661
Hii ndo raha ya kutunza kumbukumbu. Usicheze na Technology inaweza kukuumbua. Asante kwa kutupa reference isiyo na ubishi. Pro Russia waje wapambane na hoja hii sasa.Mwaka 1941, Urusi ilipokuwa ikilitreat kutoka kwa WANAZI huko Kherson ililipua bwawa ambalo leo tena wanataka walililpue baada ya kuzidiwa na Waukraine.
Halafu watu wanajiuliza iweje USA imsadie Ukraine, Hiki kipande cha gazeti kinatwambia hata Urusi ilisaidiwa na Wamarekani wakati huo ikipambana na WaNAZI
View attachment 2393706
Anafanya hivyo ili aonekane na yeye anaua. Hata Vita anataka tupiganie mjini ili auwe watu aseme bahati mbaya. Vita wanapambana wanakeshi, kwanini uue raia?Shukrani mkuu kwa ufafanuzi zaidi. Nadhani Mrussi anafikiri kwa kufanya hivyo labda nguvu itaelekezwa huko kuilinda miji mikubwa na maeneo ya makazi ya watu badala ya Frontline ambapo ameshachemka.