Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zile NASAMS mbili zikifika anga litakuwa salama. Na makombora yao hayata penetrate kwenye ardhi ya Ukraine. Uimara wa jeshi ni kwenye battle field (frontline).

Makombora yake yanayotokea baharini, Belarus na Russia yatadhibitiwa.
... ujumbe ninaoupata hapa ni kwamba; airforce zitapita; marine zitapita; ila infantry was there, it is here, and will be there to stay until the end of times! Huwezi kusema una jeshi imara kama jeshi la ardhini ni legelege no matter airforce na/au marine ziko imara kiasi gani.
 
Jana na juzi wamepiga makombora Kyiv, hakuna sehemu yamepenya. Mtambo wa Ujerumani inaonekana upo vizuri. Just apewe usaidizi. Tukipata mitambo 4,Mashariki Kusini na Kaskazini, Kyiv itakuwa salama. Sasa hivi Urusi inajiandaa kushambulia Kyiv kutokea Belarus sababu ndo karibu. Uzuri ishawekwa wazi. Ukraine itakuwa inapiga Kombora lilipo tokea. So Belarus ijiandae
 
Hapa Ukraine ikipata F-16 kadhaa tu, hiyo front ya Belarus kwisha habari yake!
 
... ujumbe ninaoupata hapa ni kwamba; airforce zitapita; marine zitapita; ila infantry was there, it is here, and will be there to stay until the end of times! Huwezi kusema una jeshi imara kama jeshi la ardhini ni legelege no matter airforce na/au marine ziko imara kiasi gani.
Well narrated.
 
Hivi madaktari wa kijeshi huwa hawapo katika target ya adui?Au na wao wanachukuliwa kama wanajeshi wengine tu
Na wao huwa wapo kwenye convoy ya frontline na ambulance zao. Ndiyo maana na wao wanakuwa na silaha za kujilinda. Majeruhi hutokea frontline, lengo ni ku save life ya askari aliyejeruhiwa apate huduma ya kwanza na baadae wampeleke Hospital za jeshi.
 
Jana na juzi wamepiga makombora Kyiv, hakuna sehemu yamepenya. Mtambo wa Ujerumani inaonekana upo vizuri. Just apewe usaidizi. Tukipata mitambo 4,Mashariki Kusini na Kaskazini, Kyiv itakuwa salama. Sasa hivi Urusi inajiandaa kushambulia Kyiv kutokea Belarus sababu ndo karibu. Uzuri ishawekwa wazi. Ukraine itakuwa inapiga Kombora lilipo tokea. So Belarus ijiandae
Kama baba anapigwa na kazidiwa, wewe mke (Belarus) ndo utaweza.?

Lukansheko naona anataka kuwahisha muda wake wa kuondoka madarakani kutoka kwenye Life President.
 
Na wao huwa wapo kwenye convoy ya frontline na ambulance zao. Ndiyo maana na wao wanakuwa na silaha za kujilinda. Majeruhi hutokea frontline, lengo ni ku save life ya askari aliyejeruhiwa apate huduma ya kwanza na baadae wampeleke Hospital za jeshi.
Ok, asante
 
Zile NASAMS mbili zikifika anga litakuwa salama. Na makombora yao hayata penetrate kwenye ardhi ya Ukraine. Uimara wa jeshi ni kwenye battle field (frontline).

Makombora yake yanayotokea baharini, Belarus na Russia yatadhibitiwa.
Aaamen.
 
... ujumbe ninaoupata hapa ni kwamba; airforce zitapita; marine zitapita; ila infantry was there, it is here, and will be there to stay until the end of times! Huwezi kusema una jeshi imara kama jeshi la ardhini ni legelege no matter airforce na/au marine ziko imara kiasi gani.
Uko sahihi kabisa mkuu. Nchi haitekwi au kukombolewa kwa airforce au marines. Infantry ndio mpango mzima ukitaka kuteka au kukomboa maeneo.
 
Hivi madaktari wa kijeshi huwa hawapo katika target ya adui?Au na wao wanachukuliwa kama wanajeshi wengine tu
Madaktari wanakuwa nyuma. Wanalindwa sana.. Halafu Kisheria Magari ya Ambulance hayashambuliwi yana kinga. Hata msafara wa rais unapisha ambulance. Wanakuwa nyuma ya Frontline. Wapo na red cross. Sema Urusi hadi ambulance wanashambulia saba ni uharibifu. Urusi wanapambana hadi uraiani vijijini wanarusha makombora. Mashamba wanachoma moto na mifugo inapigwa risasi. Ukraine inadili na Wanajeshi tu.
Urusi wana roho mbaya. Mtu anachoma Maghala ya vyakula, unategemea awe na utu au kufuata sheria?
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Nchi haitekwi au kukombolewa kwa airforce au marines. Infantry ndio mpango mzima ukitaka kuteka au kukomboa maeneo.
Infants wa Urusi ni dhaifu. Ndo maana wanakimbia Frontline wanarusha Makombora kwenye makazi ya watu na miji mikubwa. Watu ambao wapo zao na mishe za ujenzi, ufugaji na masomo ndo wanarushiwa mabomu. Wanataka waonekane na wao wameua baada ya kushindwa kuua Wanajeshi wa Ukriane
 
Na wao huwa wapo kwenye convoy ya frontline na ambulance zao. Ndiyo maana na wao wanakuwa na silaha za kujilinda. Majeruhi hutokea frontline, lengo ni ku save life ya askari aliyejeruhiwa apate huduma ya kwanza na baadae wampeleke Hospital za jeshi.
Ambulance hawana Silaha, bali wanapewa Ulinzi na Frontline. Huwa wanatibu hadi mateka
 
Infants wa Urusi ni dhaifu. Ndo maana maana wanakimbia Frontline wanarusha Makombora makazi ya watu na miji mikubwa. Watu amabao wapo zao na mishe za ujenzi, ufugazi na masomo ndo wanarushiwa mabomu.
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi zaidi. Nadhani Mrussi anafikiri kwa kufanya hivyo labda nguvu itaelekezwa huko kuilinda miji mikubwa na maeneo ya makazi ya watu badala ya Frontline ambapo ameshachemka.
 
Mwaka 1941, Urusi ilipokuwa ikiretreat kutoka kwa WANAZI huko Kherson ililipua bwawa ambalo leo tena wanataka walililpue baada ya kuzidiwa na Waukraine.

Halafu watu wanajiuliza iweje USA imsadie Ukraine, Hiki kipande cha gazeti kinatwambia hata Urusi ilisaidiwa na Wamarekani wakati huo ikipambana na WaNAZI

20221021_141827.jpg
 
Mwaka 1941, Urusi ilipokuwa ikilitreat kutoka kwa WANAZI huko Kherson ililipua bwawa ambalo leo tena wanataka walililpue baada ya kuzidiwa na Waukraine.

Halafu watu wanajiuliza iweje USA imsadie Ukraine, Hiki kipande cha gazeti kinatwambia hata Urusi ilisaidiwa na Wamarekani wakati huo ikipambana na WaNAZI

View attachment 2393706
Yeye alisaidiwa leo kageuka mbogo..

Masikini akipata .............
 
Madaktari wanakuwa nyuma. Wanalindwa sana.. Halafu Kisheria Magari ya Ambulance hayashambuliwi yana kinga. Hata msafara wa rais unapisha ambulance. Wanakuwa nyuma ya Frontline. Wapo na red cross. Sema Urusi hadi ambulance wanashambulia saba ni uharibifu. Urusi wanapambana hadi uraiani vijijini wanarusha makombora. Mashamba wanachoma moto na mifugo inapigwa risasi. Ukraine inadili na Wanajeshi tu.
Urusi wana roho mbaya. Mtu anachoma Maghala ya vyakula, unategemea awe na utu au kufuata sheria?
View attachment 2393661
Asante kwa maelezo
 
Mwaka 1941, Urusi ilipokuwa ikilitreat kutoka kwa WANAZI huko Kherson ililipua bwawa ambalo leo tena wanataka walililpue baada ya kuzidiwa na Waukraine.

Halafu watu wanajiuliza iweje USA imsadie Ukraine, Hiki kipande cha gazeti kinatwambia hata Urusi ilisaidiwa na Wamarekani wakati huo ikipambana na WaNAZI

View attachment 2393706
Hii ndo raha ya kutunza kumbukumbu. Usicheze na Technology inaweza kukuumbua. Asante kwa kutupa reference isiyo na ubishi. Pro Russia waje wapambane na hoja hii sasa.
 
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi zaidi. Nadhani Mrussi anafikiri kwa kufanya hivyo labda nguvu itaelekezwa huko kuilinda miji mikubwa na maeneo ya makazi ya watu badala ya Frontline ambapo ameshachemka.
Anafanya hivyo ili aonekane na yeye anaua. Hata Vita anataka tupiganie mjini ili auwe watu aseme bahati mbaya. Vita wanapambana wanakeshi, kwanini uue raia?
 
Back
Top Bottom