Madaktari wanakuwa nyuma. Wanalindwa sana.. Halafu Kisheria Magari ya Ambulance hayashambuliwi yana kinga. Hata msafara wa rais unapisha ambulance. Wanakuwa nyuma ya Frontline. Wapo na red cross. Sema Urusi hadi ambulance wanashambulia saba ni uharibifu. Urusi wanapambana hadi uraiani vijijini wanarusha makombora. Mashamba wanachoma moto na mifugo inapigwa risasi. Ukraine inadili na Wanajeshi tu.
Urusi wana roho mbaya. Mtu anachoma Maghala ya vyakula, unategemea awe na utu au kufuata sheria?
View attachment 2393661