Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Marekani 4,700 wa Vikosi vya anga, wanaojiita aka "Screaming Eagles", wamepelekwa Mpakani mwa Ukraine na Romania kuangazia kinachoendelea Ukriane. Wameweza kuizunhuka Snake Island.. Na wamepaisha ndege zao anga la Odessa. Pia Wanaendelea na Mazoezi Romania. Wanasema wamepata nafasi ya kuwasoma Warusi. Vita ya Anga Ukraine imefika patamu.
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe lile shambuliwa la juzi Antonovsky Bridge, limeondoka na wale wafanya propaganda wa Urusi. Ndo maana naona Urusi wamepoa sana kupost ujinga jana. 🤣🤣🤣

Wamekufa 4, 2 wa Radio ya Jeshi la Urusi kati yao yupo huyu pichani Oleg Klokov, ambaye alikuwa anafsnya kazi Moscow24
Your browser is not able to display this video.
 
Halafu huyu mwana propaganda anadai eti Ukraine imeshambulia gari la raia wasio na hatia. Wamesahau wo wanaua hadi ng'ombe. Wanadai raia Kumbe ni wafanyakazi wa Jeshi la Urusi wakitumia magari ya kiraia wasitambulike. Hapa ni Kherson
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.

Pia Stalin alimuomba Roovelt ampatie wanajeshi ila akakataa na kumwambia yeye ana watu wengi hivyo hawezi kutoa watu wake kwenda kufa vifaa alivyopewa vinamtosha.

Hii pia ilipelekea kuwepo kwa Eastern Front( Russia) peke yake na Western Front (Allied).Japokuwa Stalin alishatamani kuitawala Europe yote.

WW2 US aliplay role kubwa kuikomboa Europe, alipigana vita mbili, Pacific war (Japan),Atlantic war (Western Europe).Huko kote alikuwa anatoa full support.
 
Kumbe Tanzania twapewa msaada wa uniform na mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…