figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,561
Huyu ni Liliya raia wa Norway, kaandaa nguo za kuwapelekea Wananchi wa Ukraine ambao wamekumbolewa huko Kherson. Ukraine imekomboa vijiji 88 Kherson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kawa mpole hasa, katulia tuli. Utadhani yuko kwa kinyozi. Anasikilizia kinachoendelea 😂 😂
Jamaa walikuwa na wasiwasi na hilo gari au wanalisindikizaWelcome to Ukraine
View attachment 2393975
Duuu walichakazwa mpaka wakachakaaKherson: Hiki ni kijiji kilichokombolewa cha Arkhanhelske
View attachment 2393953
Hiz zitagongwa mapema na drones za iranHispania imetisha sana. Tusubiri tuone zitafanyaje kazi Frontline..
View attachment 2388036
Slava Ukraine [emoji1255]Welcome to Ukraine
View attachment 2393975
Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.Mwaka 1941, Urusi ilipokuwa ikilitreat kutoka kwa WANAZI huko Kherson ililipua bwawa ambalo leo tena wanataka walililpue baada ya kuzidiwa na Waukraine.
Halafu watu wanajiuliza iweje USA imsadie Ukraine, Hiki kipande cha gazeti kinatwambia hata Urusi ilisaidiwa na Wamarekani wakati huo ikipambana na WaNAZI
View attachment 2393706
Kumbe Tanzania twapewa msaada wa uniform na mabeberuYaani Urusi kajivua nguo saana Hii vita Sasa hivi hata Latvia anamtamani Mrusi aruke nae mbele... Mtu askari ameshamaliza kabakiza voda fasta Hana Tena elites military personnel.
Askari wanavaa kofia za Chuma Kama Suma JKT. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afu West walivyo na utajiri wanatoa fully equipment ... Imagine Kama Canada tu kwa miaka kibao wanatoa Canadian military uniform combat kwa askari wa Tanzania kwa miaka na hawatetereki... Watashindwa kuwapa Wazungu wenzao wa Ukraine magwanda ya kisasa kwa miaka 10.
Hii vita Mrusi kayatinyanga kadri siku zinavyozidi kusonga ndio anafulia zaidi, Bora aachane nayo ni sawa na kuliwa kwenye kamari na ukaendelea kufukuza hasara yako ili ukave ndio unapunwa zaidi .. ulikuwa call it a day nenda home... Kesho nayo siku.
Mrusi apigwe tu! Hasikii Wala hajielewi.
Watu wako trainingHapa Ukraine ikipata F-16 kadhaa tu, hiyo front ya Belarus kwisha habari yake!