Airforce yasaidia kuharibu mifumo wezeshi ya mawasiliano..Uko sahihi kabisa mkuu. Nchi haitekwi au kukombolewa kwa airforce au marines. Infantry ndio mpango mzima ukitaka kuteka au kukomboa maeneo.
Hadi mwaka 1941, Marekani lilikuwa Taifa lenye neema sana za kiuchumi. Kama siyo Marekani kuingilia kati ktk vita ya kwanza ya dunia na vita ya pili ya dunia, Ujerumani angewachakaza sana mahasimu wake. Kale kaufaransa Hitler alikapiga ndani ya miezi miwili😀😀Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.
Pia Stalin alimuomba Roovelt ampatie wanajeshi ila akakataa na kumwambia yeye ana watu wengi hivyo hawezi kutoa watu wake kwenda kufa vifaa alivyopewa vinamtosha.
Hii pia ilipelekea kuwepo kwa Eastern Front( Russia) peke yake na Western Front (Allied).Japokuwa Stalin alishatamani kuitawala Europe yote.
WW2 US aliplay role kubwa kuikomboa Europe, alipigana vita mbili, Pacific war (Japan),Atlantic war (Western Europe).Huko kote alikuwa anatoa full support.
Nimeshangaa sanaWanajeshi wa Marekani 4,700 wa Vikosi vya anga, wanaojiita aka "Screaming Eagles", wamepelekwa Mpakani mwa Ukraine na Romania kuangazia kinachoendelea Ukriane. Wameweza kuizunhuka Snake Island.. Na wamepaisha ndege zao anga la Odessa. Pia Wanaendelea na Mazoezi Romania. Wanasema wamepata nafasi ya kuwasoma Warusi. Vita ya Anga Ukraine imefika patamu.
View attachment 2394220
Ndio maana drone attack zimesimama kwa hizi siku 3Mainstructors 10 wa Iran waliokuwa wanawafundisha Urusi jinsi ya kutumia Drones, Wameuawa Ukriane kwenye shambulio la anga.
View attachment 2394227
Hapana, sehemu ya Vita ndege zinapita chini chini hasa hizi zinazobeba Wanajeshi kuhamisha kutoka point moja kwenda nyingine, sababu zikipita juu sana ni rahisi kushambuliwa sababu zinaonekana sehemu kubwa.Jamaa walikuwa na wasiwasi na hilo gari au wanalisindikiza
Kwa ajili ya mafunzo ya F-16 tu au military training kwa ujumla wake.Watu wako training
Kuna bajeti ya 50bil usd inatengwa kuanzia January 2023
Odessa wako vizuri. Hawataki ujinga kabisa.Ndege ya Ukraine ilivyoangusha cruise missile ya Urusi huko Odessa
View attachment 2394409
Nimeona Kamanda. Asante sana
Kazi kweli kweli. Usipokuwa makini unaweza kujikuta mechanganya mafaili.Ishara za mikono kwa Frontline ili kupunguza Makelele ya kuelekezana. Askari wa Miguu
View attachment 2394218
Ndo wanaonjeshwa tamu hivyo. Keep it up comrades. Nice.URUSI: Eneo la viwanda Jijini Moscow likuwa linawaka moto
View attachment 2394219
Waw! Safi mno. Hilo ni pigo takatifu maanake Warussi watakuwa na madarasa yasiyo na waalimu. Sasa Watafundishana wenyewe kwa wenyewe. e.g. std.5 anamfundisha std 3. Hahahaaa 😁 🔨Mainstructors 10 wa Iran waliokuwa wanawafundisha Urusi jinsi ya kutumia Drones, Wameuawa Ukriane kwenye shambulio la anga.
View attachment 2394227
Ukatae -Ukubali, tunasema USA ni Super power. Hapendi kuonesha ubabe lakini ukimjia kimasihara utatambua kwamba umeingia mahali pasipostahili kuingia/kujichomeka hovyo. Mfano hai ndo huyu Mrussi sasa analia lia hovyo kumbe kayataka mwenyewe. Analinywa kama alivolikoroga.Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.
Pia Stalin alimuomba Roovelt ampatie wanajeshi ila akakataa na kumwambia yeye ana watu wengi hivyo hawezi kutoa watu wake kwenda kufa vifaa alivyopewa vinamtosha.
Hii pia ilipelekea kuwepo kwa Eastern Front( Russia) peke yake na Western Front (Allied).Japokuwa Stalin alishatamani kuitawala Europe yote.
WW2 US aliplay role kubwa kuikomboa Europe, alipigana vita mbili, Pacific war (Japan),Atlantic war (Western Europe).Huko kote alikuwa anatoa full support.
Hazijasimama. Zinaangushwa..Ndio maana drone attack zimesimama kwa hizi siku 3
Aliyetoa taarifa ni Israel, yawezekana katoa coordinate kwa Ukraine
Mimi nafikiri Urusi waachane na Odessa. Mwezi wa nane sasa hakuna Mrusi kakanyaga Odessa. Kila siku Missile hazifikii target. Wanajitahidi sana. Urusi wanaitaka ile bandari.Odessa wako vizuri. Hawataki ujinga kabisa.