Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Civil war among the US states ilimpa uzoefu mkubwa sana Marekani when it comes to war they precisely know what it means about war! Wengine wanabahatisha tu linapokuja suala la vita; I mean real bloody battle. Sorry, nazungumzia modern age wars not vita vya farasi na majambia vya enzi za Genghis Khan!
 
Imekaa uzuri hii
 
Natamani leo tuangazie baadhi ya Silaha. Hii Vita ya Ukraine umekuwa kama Uwanja wa kuonesha na kuringishiana Silaha mpya mpya za Kisasa. Mimi nimependa kila nchi inavyoonesha Umwamba wake. Marekani, Iran, Ufaransa, Ujerumani, Urusi, china, Israel, Poland nk. Twende kazi. Kila mtu atuoneshe Silaha iliyo mvutia. Mimi naanza na 11-Barrel Naval Gatling Gun ya China. Hii inaangusha ndege, Missiles n.k. Ni air defense system
Your browser is not able to display this video.
 
Tutazungumza kuhusu Silaha zote lakini Silaha best kwangu katika mtanange huu wa Ukraine vs Urusi ni

1. Namba moja ni Javellin. Hii kitu imevitafuna vifaru vya Urusi kama bigjii

2. HIMARS- Hii ilibadili situation ya Ukraine kutoka kuwa kwenye defensive na kuanza kuwapelekea Moto Warusi

3. Bayraktaar - Hii ilisaidia sana kuthibiti advances za Mrusi kuelekea Kiev mwanzoni mwa vita


Javellin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…