Self propelled maana yake inafanyaje?Self-propelled Anti-aircraft Guns (SPAAG)
View attachment 2395161
View attachment 2395162View attachment 2395163
Sure! Muingereza alijitahidi sana kumzuia Mjerumani asivuke kuingia kwenye kisiwa chake, alipigwa vibaya sana baharini hadi akaamua kurudi nyuma na kutangaza operation Barbarosa (Eastern Front to Russia).
West Europe aliyejitahidi ni Muingereza, uingereza kitu kikubwa kilichomsaidia ni intelijensia ya kujua na kugundua Mjerumani anapanga kufanya nini.
Bila US kuingia kwenye hizo vita dunia ingegawanywa vipande 3,sehemu ya Mjapan Pacifi yote hadi US.
Pili Third Reich Europe yote.Headquarters ilikuwa inaandaliwa kuwekwa pale Czechoslovakia, Fourth Reich ingekuwa Afrika makao yake makuu yalikuwa yawe South Africa.
Tatu angetawala Muitaliono (Benito Mussolini) akiwa karibu na rafiki yake Mjerumani maeneo ya kusini mwa Europe,North Afrika hadi Uarabuni. Kwahiyo Marekani alitibua mipango yote.
Ujue jinsi ambavyo Makamanda wa Hitler walikuwa wanamuogopa US siku Hitler ametangaza vita na US walipigwa na mshangao wengine wakaanza kusema the war is lost. Hapa ni baada ya Japan kuipiga US pale pearl harbour 1941.
[emoji15][emoji15][emoji15]Uyo HIMARS nilishaga mblock ni snitch ya uku anayapeleka kule ya kule anayaleta uku ni nusu nusu yaani si wa moto si wa baridi haeleweki sehemu anaitetea UKRAINE akienda kule anaisifia RUSSIA niliamua kumblock tu
Ni silaha ambazo zinaweza kutembea zenyewe bila kuvutwa au kusukumwa(locomotive) Yaani inapiga huku inatembea. Kuna Silaha nyingine zinapiga zikiwa sehemu moja kutoka hapo hadi zivutwe, zisukumwe au zibebwe.Self propelled maana yake inafanyaje?
Ahsante sana kaka kwa kukazia na umeniongezea kitu kipya (civil wars)[emoji120][emoji120]Civil war among the US states ilimpa uzoefu mkubwa sana Marekani when it comes to war they precisely know what it means about war! Wengine wanabahatisha tu linapokuja suala la vita; I mean real bloody battle. Sorry, nazungumzia modern age wars not vita vya farasi na majambia vya enzi za Genghis Khan!
AsanteNi silaha ambazo zinaweza kutembea zenyewe bila kuvutwa au kusukumwa(locomotive) Yaani inapiga huku inatembea. Kuna Silaha nyingine zinapiga zikiwa sehemu moja kutoka hapo hadi zivutwe, zisukumwe au zibebwe.
Zipo silaha ambazo sio Self-propelled mfano M777 howitzers
View attachment 2395598
M777 howitzers
Huyu ni mobilized au mgambo wa jiji. Mbona kafa kihasara namna ile.
Duuu. Iliyosambaratishwa hiyo ni MLRS au ni gari tu la kawaida. Kitu kizito kiliwashukia hawa wavamizi
Inachukua hizo picha ikiwa angani?Hii ndege ya NATO ni sentinel. Inasaidia kutoa tarifa za picha kwa muda sahihi majeshi ya Urusi yalipo. Hii ni Ndege ya Upelelezi na Intelejensia. Inasaidia Frontline ya Ukraine. So Frontline inakiwa inajua tuvamie wapi twende wangapi. Ndo maana Urusi wanachakazwa. Hakuna kubahatisha
View attachment 2395743View attachment 2395744View attachment 2395745View attachment 2395746View attachment 2395747View attachment 2395748
Khalalahu Taalah - Hapo sidhani kama kuna aliyepona. Mrussi atakuja kusimulia vizazi vijavyo kwamba usivamie nchi ya watu kimasihara kwa kudhania eti ni dhaifu na mnyonge - Itakula kwako
Ila mizoga imetapakaa utadhani ni viboko walikuwa wanajizaragaza kwenye tope- wametiwa adabu sawasawa.Duuu. Iliyosambaratishwa hiyo ni MLRS au ni gari tu la kawaida. Kitu kizito kiliwashukia hawa wavamizi
Hayo mavitambaa mekundu ya Mrussi hayana hata hadhi ya kuitwa bendera. Labda yaitwe mashuka au rubega 😂 😂 .Bendera ya Adui gaidi imeshushwa.
View attachment 2395789