Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Safi
Sure! Muingereza alijitahidi sana kumzuia Mjerumani asivuke kuingia kwenye kisiwa chake, alipigwa vibaya sana baharini hadi akaamua kurudi nyuma na kutangaza operation Barbarosa (Eastern Front to Russia).

West Europe aliyejitahidi ni Muingereza, uingereza kitu kikubwa kilichomsaidia ni intelijensia ya kujua na kugundua Mjerumani anapanga kufanya nini.

Bila US kuingia kwenye hizo vita dunia ingegawanywa vipande 3,sehemu ya Mjapan Pacifi yote hadi US.

Pili Third Reich Europe yote.Headquarters ilikuwa inaandaliwa kuwekwa pale Czechoslovakia, Fourth Reich ingekuwa Afrika makao yake makuu yalikuwa yawe South Africa.

Tatu angetawala Muitaliono (Benito Mussolini) akiwa karibu na rafiki yake Mjerumani maeneo ya kusini mwa Europe,North Afrika hadi Uarabuni. Kwahiyo Marekani alitibua mipango yote.

Ujue jinsi ambavyo Makamanda wa Hitler walikuwa wanamuogopa US siku Hitler ametangaza vita na US walipigwa na mshangao wengine wakaanza kusema the war is lost. Hapa ni baada ya Japan kuipiga US pale pearl harbour 1941.
 
Uyo HIMARS nilishaga mblock ni snitch ya uku anayapeleka kule ya kule anayaleta uku ni nusu nusu yaani si wa moto si wa baridi haeleweki sehemu anaitetea UKRAINE akienda kule anaisifia RUSSIA niliamua kumblock tu
[emoji15][emoji15][emoji15]
JamiiForums1579481012.jpg
 
Self propelled maana yake inafanyaje?
Ni silaha ambazo zinaweza kutembea zenyewe bila kuvutwa au kusukumwa(locomotive) Yaani inapiga huku inatembea. Kuna Silaha nyingine zinapiga zikiwa sehemu moja kutoka hapo hadi zivutwe, zisukumwe au zibebwe.

Zipo silaha ambazo sio Self-propelled mfano M777 howitzers
1666531596702.png

M777 howitzers​
 
Civil war among the US states ilimpa uzoefu mkubwa sana Marekani when it comes to war they precisely know what it means about war! Wengine wanabahatisha tu linapokuja suala la vita; I mean real bloody battle. Sorry, nazungumzia modern age wars not vita vya farasi na majambia vya enzi za Genghis Khan!
Ahsante sana kaka kwa kukazia na umeniongezea kitu kipya (civil wars)[emoji120][emoji120]
 
Hii ndege ya NATO ni sentinel. Inasaidia kutoa tarifa za picha kwa muda sahihi majeshi ya Urusi yalipo. Hii ni Ndege ya Upelelezi na Intelejensia. Inasaidia Frontline ya Ukraine. So Frontline inakiwa inajua tuvamie wapi twende wangapi. Ndo maana Urusi wanachakazwa. Hakuna kubahatisha
IMG_20221023_194434_638.jpg
IMG_20221023_194432_211.jpg
IMG_20221023_194429_921.jpg
IMG_20221023_194436_502.jpg
IMG_20221023_194438_407.jpg
IMG_20221023_194441_497.jpg
 
Hii ndege ya NATO ni sentinel. Inasaidia kutoa tarifa za picha kwa muda sahihi majeshi ya Urusi yalipo. Hii ni Ndege ya Upelelezi na Intelejensia. Inasaidia Frontline ya Ukraine. So Frontline inakiwa inajua tuvamie wapi twende wangapi. Ndo maana Urusi wanachakazwa. Hakuna kubahatisha
View attachment 2395743View attachment 2395744View attachment 2395745View attachment 2395746View attachment 2395747View attachment 2395748
Inachukua hizo picha ikiwa angani?
Radar za adui haziioni?
Hebu nitoe ujinga kidogo.
 
Back
Top Bottom