Dah! Kweli Mrussi sio binadamu. Kwa hili, ingefaa sana mzigo huo "upostiwe kwa Mrussi" kwa malengo na makusudi yale yale aliyokuwa amekusudia kuwatendea uzao wa Ukraine kwa kutumia huo mzigo ili naye aonje maumivu yatokanayo na mzigo wake aliouacha Kherkiv. Huyo Mrussi ni mwanaharamu kabisa.Kherkiv Urusi walipo fumuliwa na kukimbia, Waliacha Missiles hizi. Hizi zote zililetwa kuangamiza uzao wa Ukraine. Huu mzigo walishindwa kuondika nao
View attachment 2396057
Exactly. Hilo ndilo la msingi sana. Hata Wapiganaji watakuwa ni wachache (jeshi dogo)lakini ni very competent. Hata Mwl. J.K.Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kutamka hilo.Nadhani imefika wakati wa kufundisha majeshi yetu kutumia Drones na kujikinga na drones. Hizi silaha za soviets zimepitwa na wakati. Mfano Urusi ina silaha nyingi za kizamani anapelekewa moto na Ukriane yenye silaha chache za kisasa.
View attachment 2396067
Kwa kweli tuache masihara aisee. Hata Mrussi sijasikia amezitumia silaha hizi katika hii vita au labda zina majina tofauti? Mrussi mwenyewe ameona masilaha yake aliyojilimbikizia stoo hayana tena umaarufu ni ya kizamani (yamepitwa na wakati) na ameenda kuomba silaha za kisasa kutoka Uarabuni. Watanzania tujifunze kitu kutokana na vita hii.Haya ni masihala sasa. Niishie hapo.
Hiki ndicho Warussi walichofuata Ukraine. Utadhani kwao hakunaga mahali/eneo la mapumziko wanakuja kuotea jua Ukraine.
Tena kwa mwendo wa fang' fang' 🏃♂️Warusi wanarudishwa kwao kwa nguvu
View attachment 2396053
Safi sana. Wanaonekana wenye nyuso za tabasamu/furaha na bashasha asubuhi hii, lakini wakikubadilikia muzee, hakuna rangi utaacha kuona kama ilivyo kwa Mrussi sasa - anakimbizwa utadhani ni swala wa kitoweo cha haraka sana kwa ugeni mzito uliofika ghafla nyumbani.
Yeah. Hicho kinawaongezea morale(Self motivation) ili kila mmoja ajitahidi kufanya vizuri zaidi next time na kubadilishana uzoefu.Wanajeshi wenzetu kutoka Georgia wakipiga Story jinsi walivyo wafurumusha Warusi
View attachment 2396121
Ukombozi umewadia. Watafurahi mno. Nimeona (vid. clips)kuna sehemu nyingine wapiganaji wakipokelewa kwa hisia tofauti hadi wananchi wengine wanatoa machozi ya furaha kana kwamba wanawauliza wapiganaji "Mlikuwa wapi ndugu zetu tuliwangoja sana kwa hamu - karibuni sana, poleni kwa safari ndefu........"Kherson kaeni tayari. Jeshi linakuja
View attachment 2396134
Ndo maana Urusi anapata tatbu. Wananchi wanakaa kimya sababu wapo kama Mateka, hawana Uamuzi. Watakombolewa tuUkombozi umewadia. Watafurahi mno. Nimeona (vid. clips)kuna sehemu nyingine wapiganaji wakipokelewa kwa hisia tofauti hadi wananchi wengine wanatoa machozi ya furaha kana kwamba wanawauliza wapiganaji "Mlikuwa wapi ndugu zetu tuliwangoja sana kwa hamu - karibuni sana, poleni kwa safari ndefu........"
Inshallah' Mungu atawajalia hilo kwa wakati anaoona unafaa. Amina.Ndo maana Urusi anapata tatbu. Wananchi wanakaa kimya sababu wapo kama Mateka, hawana Uamuzi. Watakombolewa tu
Kulikoni mkuu?Tarehe 24/10/2022
Kumbuka
Nasikia zelesky kala kona UkraineNdo maana Urusi anapata tatbu. Wananchi wanakaa kimya sababu wapo kama Mateka, hawana Uamuzi. Watakombolewa tu
Hizo habari umezitoa wapi?Nasikia zelesky kala kona Ukraine
Ova
Achana naye.Hizo habari umezitoa wapi?
Yaani watu utafikiri mnaishi kwenye Ikulu ya Putin...asee...yaani ni shidah...Hakika mkuu. Putin alicalculate vibaya kwenye hii vita. Halafu ukiangalia historia yake kwenye vita huwa anapoteza askari wake wengi kwa uzembe tu ,sijui mafunzo yao yakoje, hata kwa mtu ambaye siyo expert wa jeshi na vita unajiuliza why hakupita pale badala yake amekuja open namna hii?
Ukiangalia askari wa majeshi mengine unaona kama vile ulivyowaza ndivyo na yeye anavyofanya.
Putin alijiamini katika wingi wa personnels na equipments, akasahau wenzake wako na strong strategies and morale ya kutosha.
Luteni Generali Silas Mayunga kipindi cha Kagera war askari wake walimpenda sana kwasababu alikuwa anawapa mzuka sana,maneno yake yalikuwa yanawapa hamasa wapiganaji.
Baadhi aliwaambia askari kushinda vita siyo wingi wa kuwa na silaha bora na za kisasa bali kupigana kwa kumsogeza adui nyuma na wewe kusonga mbele..."
Askari yoyote ambaye hayuko tayari kupigana hata umpe silaha nzito na bora kiasi gani hawezi kushinda vita sana sana hatazilinda ataziacha na kutumiwa na adui kukupiga wewe mwenyewe.
Ukubwa wa nchi Siyo ushindi wa vita bali hiyo vita unapigana kwa ajili ya nini. Tusiidharau nchi yoyote mkuu kwa udogo wake.