Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zamani nilikuwa sielewi kwa nini ukipita kwenye kambi za Jeshi unakuta bango kubwa la ni "Marufuku kupiga picha maeneo haya". Sasa nimejua
 
Kuna habari kuwa Iran inaisaidia Urusi kurecruit Makomando wa Afghanistan wakaisaidie Urusi kupigana huko Ukraine. Iran inawaleta hao Makomando kutoka Afghanistan, kisha inawaunganisha na Warusi. Na wanalipwa hadi dola 1500 kwa mwezi!.

Hii nchi ya Iran sielewi mahesabu yake, badala iplay positive role, yenyewe inajiingiza katika confrontation na west bila sababu za msingi!.
 
Mkataa pema, pabaya panamwita. Ni afadhali angekuwa neutral. Lakini Iran kwa hiki anachokifanya sio sawa.
 
Mbona NATO Ina Askari wake Ukraine na kutoa silaha kila uchwao na sioni mkishauri iache kuchochea mapigano....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…