figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,061
Halafu wamekuja msururuThread imevamiwa kama ukraine tiyari
Duh! Kitu hicho. Kama jogoo anavyopigana.Nenda kulia, kushoto, juu, chini yote kheri. 😂 😂 😂 🏃♂️Hii ndo GEPARD anti-aircraft self-propelled gun ya Ujerumani. Inatungua drone za Iran vibaya sana. Inatembea na rada yake. Inatema risasi balaa. Drone hapa haikatizi na haijakatiza. Tunatakiwa kupata za kutosha. Mikwara yake sasa🤣🤣🤣
View attachment 2404161
Kuna uthibitisho wowote? Askari wengi walioenda Ukr ni wakujitolea.
Labda kuna some information sijui, enlighten me please.
Mtapata majibu SMO ikiisha!Ila ni watu wakufanyaje? Kutimua vumbi bila viatu na kutelekeza silaha au
😂😂😂hadi raha. Utadhani Tembo kachokozwa anageuka huku na kule. Hadi inapiga chafya.Hii ndo GEPARD anti-aircraft self-propelled gun ya Ujerumani. Inatungua drone za Iran vibaya sana. Inatembea na rada yake. Inatema risasi balaa. Drone hapa haikatizi na haijakatiza. Tunatakiwa kupata za kutosha. Mikwara yake sasa🤣🤣🤣
View attachment 2404161
Muache tu aropoke maana sisi tunapenda picha siyo mipasho yake...Bwana c muende kwenye nyuzi zenu jamani
Mhh! Aisee mkuu Figa.. achana na huyo mtu.- Atakurushia matusi sasa hv.🏃♂️🏃♂️Unajitoa ufahamu. Baada ya Wanajeshi 34 kufa na kuwekwa kwenye mifuko ya rambo, hawa wakajisalimisha na silaha zao. Ila kwa sababu ni mjinga wa kutotaka kuelewa Urusi ni Magaidi, hutaelewa.
Warusi wenzio wanakusalimia
View attachment 2404175
Je; Wewe unatakiwa uombe ofisi gani?Wewe figganigga unatakiwa kuomba kazi ofisi za ccm makao makuu kitengo cha propaganda. Maana akili zako ni kama za marehemu Tambwe aliyenunuliwa kwa bei ya peremende toka CUF na kupewa kitengo cha propaganda na ccm.
Yeye tambwe alikuwa wa hovyo kweli maana mambo yaliyo dhahiri anayapinga kwa hoja dhaifu.
Unajaza mapicha na mavideo ya one sided wakati kiukweli Ukraine wamepata hasara mara tatu zaidi ya warussia. Sababu ni kuwa vita inapiganwa ndani ya ardhi yao. Vifo kwa raia, wanajeshi, ni mara 3 zaidi ya waliokufa kwa upande wa russia ambao wengi ni wanajeshi.
Ukraine wanatoa takwimu za zaidi ya wanajeshi 65000 wa russia wameuliwa. Wakati russia walipeleka jumla ya askari 150k. Kwa hii takwimu ni kwamba nusu ya idadi ya wanajeshi wameuliwa tangu february. Endelea na propaganda mkuu, ila ukweli utajulikana.
FYI Ukraine haiwezi kuwa kama ilivyokuwa mwezi february kabla ya uvamizi wa russia. Zile sehemu za donbass, kherson,Zaporozhizhya, tayari zimeshakuwa sehemu ya russia federation. Zele akiendelea kushupaza shingo ataipoteza pia kharkhiv na Odessa.
Sema tutapata majibu SMO ikiisha kwani sote ni wadau.Mtapata majibu SMO ikiisha!
Achana na huyo, usipoteze muda wako. Tuletee mavitu sisi tupate raha.Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Tuwekee pichaUnanioneaha picha ya askari 3,Wakati kule kwenye plant walijisalimisha wa Ukraine 2000+!
Wait and see how SMO ends!
Hahahaaa!! Kama ndoige vileMakombora ya Urusi ya ajabu. Saa nyingine yanakata kona na kurudi kwao na kiwaua
View attachment 2403749
😂😂😂😂Wanaruka kama nyani.
Salaam Wakuu,
Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.
View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012
Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022
NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.
ANGALIZO: Baadhi ya picha zinatisha.
View attachment 2284112
View attachment 2284113View attachment 2284114
Kama wewe ni nyani sawa, ila Mimi sio.Kama wa Urusi wakiwa nyani,sijui wewe utakuwa nani?
Nimesema kama warusi ni nyani,hata wewe ni nyani!Kama wewe ni nyani sawa, ila Mimi sio.