Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ndo GEPARD anti-aircraft self-propelled gun ya Ujerumani. Inatungua drone za Iran vibaya sana. Inatembea na rada yake. Inatema risasi balaa. Drone hapa haikatizi na haijakatiza. Tunatakiwa kupata za kutosha. Mikwara yake sasa🤣🤣🤣
View attachment 2404161
Duh! Kitu hicho. Kama jogoo anavyopigana.Nenda kulia, kushoto, juu, chini yote kheri. 😂 😂 😂 🏃‍♂️
 
Hii ndo GEPARD anti-aircraft self-propelled gun ya Ujerumani. Inatungua drone za Iran vibaya sana. Inatembea na rada yake. Inatema risasi balaa. Drone hapa haikatizi na haijakatiza. Tunatakiwa kupata za kutosha. Mikwara yake sasa🤣🤣🤣
View attachment 2404161
😂😂😂hadi raha. Utadhani Tembo kachokozwa anageuka huku na kule. Hadi inapiga chafya.
 
Unajitoa ufahamu. Baada ya Wanajeshi 34 kufa na kuwekwa kwenye mifuko ya rambo, hawa wakajisalimisha na silaha zao. Ila kwa sababu ni mjinga wa kutotaka kuelewa Urusi ni Magaidi, hutaelewa.

Warusi wenzio wanakusalimia
View attachment 2404175
Mhh! Aisee mkuu Figa.. achana na huyo mtu.- Atakurushia matusi sasa hv.🏃‍♂️🏃‍♂️
Wewe figganigga unatakiwa kuomba kazi ofisi za ccm makao makuu kitengo cha propaganda. Maana akili zako ni kama za marehemu Tambwe aliyenunuliwa kwa bei ya peremende toka CUF na kupewa kitengo cha propaganda na ccm.
Yeye tambwe alikuwa wa hovyo kweli maana mambo yaliyo dhahiri anayapinga kwa hoja dhaifu.
Unajaza mapicha na mavideo ya one sided wakati kiukweli Ukraine wamepata hasara mara tatu zaidi ya warussia. Sababu ni kuwa vita inapiganwa ndani ya ardhi yao. Vifo kwa raia, wanajeshi, ni mara 3 zaidi ya waliokufa kwa upande wa russia ambao wengi ni wanajeshi.

Ukraine wanatoa takwimu za zaidi ya wanajeshi 65000 wa russia wameuliwa. Wakati russia walipeleka jumla ya askari 150k. Kwa hii takwimu ni kwamba nusu ya idadi ya wanajeshi wameuliwa tangu february. Endelea na propaganda mkuu, ila ukweli utajulikana.

FYI Ukraine haiwezi kuwa kama ilivyokuwa mwezi february kabla ya uvamizi wa russia. Zile sehemu za donbass, kherson,Zaporozhizhya, tayari zimeshakuwa sehemu ya russia federation. Zele akiendelea kushupaza shingo ataipoteza pia kharkhiv na Odessa.
Je; Wewe unatakiwa uombe ofisi gani?
 
Urusi walisema Nafaka za Ukraine hazitasafirishwa bada ya Ukraine kuharibu meli za Urusi. Sasa leo, convoy ya Meli za Urusi zimekatika kwenye vizuizi vya Urusi na hawajafanya kitu
20221101_195616.jpg
 
Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Achana na huyo, usipoteze muda wako. Tuletee mavitu sisi tupate raha.
 
Salaam Wakuu,

Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.

View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012


Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022

NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.

ANGALIZO: Baadhi ya picha zinatisha.
View attachment 2284112
View attachment 2284113View attachment 2284114


Sina uhakika sana, lakini soma hiyoooooo[emoji116] Russia Deploys MiG-31Ks With Deadly Hypersonic Missiles To European Border In A Clear Warning To The West
 
Kama wewe ni nyani sawa, ila Mimi sio.
Nimesema kama warusi ni nyani,hata wewe ni nyani!
Sasa ukimuita binadamu mwenzako nyani,maana yake kidole kimoja kimekugeukia!
Nways sioni logic ya haya malumbano!
 
Back
Top Bottom