Yajayo yanafurahisha zaidi.1. Jana pekee zimedunguliwa Kamikaze drones 12 za Iran alizowapa warusi
2. Jana pia Ukraine ilifanya mashabulizi 33 ambapo 26 kati ya hayo yalipiga mikusanyiko ya majeshi ya Urusi na vifaa
OngezaHuu uzi umevamiwa na watu wenye ugiligili, sonona, mning'ino wa ukomunisti, ugoto wa mawazo toka kwa watu wenye hamaki inayotaka kusababisha taharuki kwa wengine.
Hayajawa walivyotaka yawe. Wamechanganyikiwa!!!
Well done. Good job 👏👏Inadaiwa kuna Warusi 800 wamekufa jana huko kusini mwa Ukraine. Tutaendelea kupeana hi habari njema. Urusi wanajuta kuivamia Ukriane
View attachment 2405123View attachment 2405124View attachment 2405125
Mdogo mdogo ndo wanapungua. Hicho ndo wanastahili.
Ukraine atamtesa sana Mrussi. Mrrussi atajuta sana kuivamia Ukraine kwa kudhani kwamba ni kanchi kadogo atakafinyanga chaap. Amebugi step.Poland imetuletea Ukraine, msaada mwingine wa Vifaru aina ya PT-91 Twardy
View attachment 2405254
25 vinaanza vingine vinafuataPoland imetuletea Ukraine, msaada mwingine wa Vifaru aina ya PT-91 Twardy
View attachment 2405254
Wanaume wanatimba bila kujali utelezi na mvua nyingi.Majeshi ya Ukraine yalipo ni Kherson
View attachment 2405353
Mashujaa nguli.Wanaume wanatimba bila kujali utelezi na mvua nyingi.