Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Intelijensia ya Uingereza yasema Urusi imepungukiwa magari ya kivita ya Infantry. Yalazimika kuomba kwa Belarus
View attachment 2405913
Eti Super power anaomba silaha kwa ka nchi kama Belarus. Shame on him.

Itafika mahala wataomba poo tu. Ukraine ikipungukiwa tu marafiki wanasema tukuletee nini best vitu vinashushwa.

Safari hii kanasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hii vita ikiendelea miezi 6 mingine atakuwa katepeta sana. USA, NATO na washirika wanataka vita iwe prolonged ili waone uchi wa Kuku (Russia) ulipo.
 
Slava Ukraine [emoji1255]
 
SO NATO na US ndio wameanzisha Vita?
 
-Leo tumebadilisha wafungwa wa kivita. Wanajeshi 107 walibadilishwa, 74 kati yao ni Wanajeshi na watetezi wa Azovstal. Mungu ni mwema
View attachment 2406144View attachment 2406145
View attachment 2406146
Inafurahisha sana kurejea home,nilikuwa naangalia makala fulani BBC kuna familia fulani baba yao mwanajeshi wa Azostal,walikuwa wakiwasiliana ila baada ya kujisalimisha mawasiliano yakakata na hawaelewi yuko hai au la! sasa kila wakipata habari hizi za kubadilishana hasa hawa Azov wanakuwa na matumaini watasikia sauti ya baba yao tena,Mara ya kwanza ikawa hayupo,I hope labda safari hii atakuwepo,au mbadilishano uliopita,Ni mabinti wa kike miaka kama 17 hivi wawili na mama yao.Wanasema Wamimiss sauti ya baba yao,ukiwaangalia wanatia huruma sana maana wanasimulia huku wanalia kwa uchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…