Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Intelijensia ya Uingereza yasema Urusi imepungukiwa magari ya kivita ya Infantry. Yalazimika kuomba kwa Belarus
View attachment 2405913
Eti Super power anaomba silaha kwa ka nchi kama Belarus. Shame on him.

Itafika mahala wataomba poo tu. Ukraine ikipungukiwa tu marafiki wanasema tukuletee nini best vitu vinashushwa.

Safari hii kanasa 😂😂😂. Hii vita ikiendelea miezi 6 mingine atakuwa katepeta sana. USA, NATO na washirika wanataka vita iwe prolonged ili waone uchi wa Kuku (Russia) ulipo.
 
-Leo tumebadilisha wafungwa wa kivita. Wanajeshi 107 walibadilishwa, 74 kati yao ni Wanajeshi na watetezi wa Azovstal. Mungu ni mwema
IMG_20221103_221251_915.jpg
IMG_20221103_221255_590.jpg

 
Nimemiss sana Lieutenant colonel Denys "Redis" Prokopenko, Komando wa AZOV alowadindia Warusi kule Mariupol Azovstal. Hadi wakaombwa na Uongozi wa Ukraine kujisalimisha. Wao waliaamua wafe ila si kijisalimisha kwa Mrusi. Tumemiss sana ucheshi, Majigambo na Ishujaa wa Redis kwenye Magroup. Mungu azidi kumpa maisha Marefu
View attachment 2405230
Slava Ukraine [emoji1255]
 
kitu hujaelewa hii vita ni kwamba ni vita ya rusia na nato na si rusia na ukraine, na lengo na US ni kushusha nguvu ya ushawishi wa urusi kiuchumi na kijeshi, na hilo watafanikiwa sababu hakuna vita isiyoacha hasara pande zote mbili, so ukraine na urusi wote watapata heavy loss, nato na us wao wanafyatua tu drones wakiwa kwenye base zao poland na german, wanawaangalia tu kwenye kioo
SO NATO na US ndio wameanzisha Vita?
 
-Leo tumebadilisha wafungwa wa kivita. Wanajeshi 107 walibadilishwa, 74 kati yao ni Wanajeshi na watetezi wa Azovstal. Mungu ni mwema
View attachment 2406144View attachment 2406145
View attachment 2406146
Inafurahisha sana kurejea home,nilikuwa naangalia makala fulani BBC kuna familia fulani baba yao mwanajeshi wa Azostal,walikuwa wakiwasiliana ila baada ya kujisalimisha mawasiliano yakakata na hawaelewi yuko hai au la! sasa kila wakipata habari hizi za kubadilishana hasa hawa Azov wanakuwa na matumaini watasikia sauti ya baba yao tena,Mara ya kwanza ikawa hayupo,I hope labda safari hii atakuwepo,au mbadilishano uliopita,Ni mabinti wa kike miaka kama 17 hivi wawili na mama yao.Wanasema Wamimiss sauti ya baba yao,ukiwaangalia wanatia huruma sana maana wanasimulia huku wanalia kwa uchungu.
 
Back
Top Bottom