Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kule Bakhmut tuna hali mbaya
Inasemekana Wagner wamevunja line za defence za Ukraine na kuingia katikati ya jiji.

Inaelekea tactic ya kutumia incidieary bombs ( Phosphorus bombs) itakuwa imewasaidia hawa warusi.

Nina wasiwasi hii tactic wanataka kuitumia huko Kherson. Yaani wanawaacha mnaingia mjini, halafu wanaushambulia na Phosphorus bombs. Inaunguza kama nini!
 
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Bakhmut ya Wapi unaisemea. Wanaingia katikati ya mji wakitokea wapi? Donetsk ilikuwa chini ya Urusi sasa wanaondoshwa. Embu angalia vizuri vyanzo vyako. Tangu Jumamosi Majeshi ya Ukraine yanafanya vizuri na hakuna Sehemu Wameretreat. Iwe Donetsk au Kherson. Tunaomba chanzo cha habari yako
 
Hapa ni Donetsk. Makao Makuu ya Treni za Urusi.. Wamegongwa na kitu kizito. Halafu mtu anakuja kusema Ukraine wamezidiwa wanaretreat.. Sijui habari wanaziokota wapi
Your browser is not able to display this video.
 
Hii taarifa una uhakika nayo? Bakhmut ilikuwa chini ya Wagner group, tukawafurusha mjini zaidi ya miezi 4 sasa. Tangu tumeichukua Russia anapiga missile na artillery zake pale. Siku zote direction ya Bakhmut mapigano ni makali na hatujawahi ku retreat.
 
Donetsk Warusi wanaungua kama mabua
View attachment 2409379
Mh! Inaelekea kuna dalili za upotoshaji wa habari. Ni vyema kuchuja na kupata uhakika wa ukweli wa Taarifa kabla mtu hajaituma hapa.esp. zile taarifa zinazokinzana na Lengo kuu la kuanzishwa kwa Uzi huu.Tumekuwa tukiziamini Taarifa zitolewazo na Figganigga kwani tangu mwanzo yupo na sisi kutuhabarisha ikiwemo kutuma picha za uthibitisho wa kile anachokisema/andika. Tunawaomba wale wanaosaidia jukumu hilo, basi wajiridhishe kwanza na Uhalisia/Ukweli wa Taarifa wanayoitoa. Mkuu Figga, tunakuomba Uendelee na majitoleo yako - tunakusikiliza na tunaziamini zaidi Taarifa zako. Asante; Ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…