figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava Ukraine [emoji1255]Mnakumbuka wale wanajeshi wqliotuka majuzi kwenye mafunzo Uingereza?
Sasa baada ya kuingia Frontline, Wanajeshi wengi wa Urisi wanakufa. Sasa wanasema ile Battalion ilokuwa mafunzoni ni Magaidi. Sababu wanashabaha sana. Wanaua km 2 hadi nne kabla ya kuwafia.
Urusi wasiporudi kwako, wataisha. Mtawaita majina yote. Sisi tunawaona Makomandoo sababu wanaua Warusi, Urusi inawaona Magaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bakhmut ya Wapi unaisemea. Wanaingia katikati ya mji wakitokea wapi? Donetsk ilikuwa chini ya Urusi sasa wanaondoshwa. Embu angalia vizuri vyanzo vyako. Tangu Jumamosi Majeshi ya Ukraine yanafanya vizuri na hakuna Sehemu Wameretreat. Iwe Donetsk au Kherson. Tunaomba chanzo cha habari yakoKule Bakhmut tuna hali mbaya
Inasemekana Wagner wamevunja line za defence za Ukraine na kuingia katikati ya jiji.
Inaelekea tactic ya kutumia incidieary bombs ( Phosphorus bombs) itakuwa imewasaidia hawa warusi.
Nina wasiwasi hii tactic wanataka kuitumia huko Kherson. Yaani wanawaacha mnaingia mjini, halafu wanaushambulia na Phosphorus bombs. Inaunguza kama nini!
KabisaHii vita ikiisha figganiga atengenezewe sanamu lake.
Maoni yangu tu.
Hii taarifa una uhakika nayo? Bakhmut ilikuwa chini ya Wagner group, tukawafurusha mjini zaidi ya miezi 4 sasa. Tangu tumeichukua Russia anapiga missile na artillery zake pale. Siku zote direction ya Bakhmut mapigano ni makali na hatujawahi ku retreat.Kule Bakhmut tuna hali mbaya
Inasemekana Wagner wamevunja line za defence za Ukraine na kuingia katikati ya jiji.
Inaelekea tactic ya kutumia incidieary bombs ( Phosphorus bombs) itakuwa imewasaidia hawa warusi.
Nina wasiwasi hii tactic wanataka kuitumia huko Kherson. Yaani wanawaacha mnaingia mjini, halafu wanaushambulia na Phosphorus bombs. Inaunguza kama nini!
Anastahili medali kwa uzalendo wake.Hii vita ikiisha figganiga atengenezewe sanamu lake.
Maoni yangu tu.
Donetsk Warusi wanaungua kama mabua
View attachment 2409379
Mh! Inaelekea kuna dalili za upotoshaji wa habari. Ni vyema kuchuja na kupata uhakika wa ukweli wa Taarifa kabla mtu hajaituma hapa.esp. zile taarifa zinazokinzana na Lengo kuu la kuanzishwa kwa Uzi huu.Tumekuwa tukiziamini Taarifa zitolewazo na Figganigga kwani tangu mwanzo yupo na sisi kutuhabarisha ikiwemo kutuma picha za uthibitisho wa kile anachokisema/andika. Tunawaomba wale wanaosaidia jukumu hilo, basi wajiridhishe kwanza na Uhalisia/Ukweli wa Taarifa wanayoitoa. Mkuu Figga, tunakuomba Uendelee na majitoleo yako - tunakusikiliza na tunaziamini zaidi Taarifa zako. Asante; Ni hayo tu.Bakhmut ya Wapi unaisemea. Wanaingia katikati ya mji wakitokea wapi? Donetsk ilikuwa chini ya Urusi sasa wanaondoshwa. Embu angalia vizuri vyanzo vyako. Tangu Jumamosi Majeshi ya Ukraine yanafanya vizuri na hakuna Sehemu Wameretreat. Iwe Donetsk au Kherson. Tunaomba chanzo cha habari yako