Wataendelea kukiona cha mtema kuni.Colonel Serhiy Cherevaty wa Ukraine upande wa Mashariki, amesema wameua Warusi 100 leo huko Bakhmut. Ni chanzo changu cha kuaminika
View attachment 2409541
Urusi ni Mandonga aliyechangamkaTofauti ya meli za Kivita Walizonazo Uturuki Ukilinganisha na Urusi. Hizi meli mbili zilizokatwa ni zile zilizo Zamishwa na Ukraine. Ndo Maana Urusi Majini anaufyata Uturuki akikohoa.
View attachment 2410252
[emoji91][emoji91][emoji91]utaona warusi wa mtogole vyenye wanapinga kuhusu warusi walipukutishwa na Ukraine
Figures zako zinatofautiana na zinazotolewa na Serikali ya Ukraine hasa kwenye watu waloikufa
Ni kweli, inategemeana na Graphic ni ya mwezi gani. Zinabadilika kila siku. Nia yangu ni kwenye MeliFigures zako zinatofautiana na zinazotolewa na Serikali ya Ukraine hasa kwenye watu waloikufa