Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Miji inarudi kwa speed ya kimondo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Narudia tena ogopa kupambana na mtu anayeamini anapambania haki yake na ya familia yake na nchi yake.

Ukraine [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ukraine Wamefanikiwa kusonga mbele km 15 kwa siku moja. Hii inamanisha Vikosi vya Ardhini, anga na Majini. Ukisikia sehemu imekombolewa, jua ipo chini ya Ukraine 100%. Yaani watu washatengeneza mahandaki, Mawasiliano na Wahandisi wapo. Frontline inakuwa ishatengenezwa swhemu husika ndipo Bendera inapandishwa.

Msikilize hapa Komando Macer Gifford. Wao wakishakamilisha kazi wanasonga mbele. Usishangae kumuona leo ana upaa, kesho ndevu kesho kutwa hana ndevu. Huyu ni Komandoo anabadilika sana. Leo ana mvi kesho hana mvi. Msikilize
Your browser is not able to display this video.
 
Snihurivka imekombolewa. Ukraine wanaendelea kusonga Mbele hatua kwa hatua na Umakini Mkubwa. Sema kuna sehemu unakuta Urusi wametega mabomu ya Ardhini zaidi ya elfu moja. So mnategua then mnasonga mbele.
 
View attachment 2412875
Sasa hivi vijiji vyake vyote viko chini ya Ukraine. Mkoa wa Mykolaiv wote umekombolewa.
 
Urusi kuna kitu wamefanya cha aibu Kherson. Wameacha wametega mabomu ya Ardhini kila sehemu. Makaburini, sehemu za ibada, kwenye maji taka na safi, maofisini, makazi ya watu na Mashuleni. Kumbuka haya mabomu yalishapigwa marufuku.

HPD F2 Mines zilipigwa Marufuku na Mkutano wa mwaka 1980 Geneva Convention on Unconventional Weapons. Sababu yanaweza kikaa hata miaka 5 bila kulipuka, mtu akilipitia linalipuka. Hii ni Teknolojia ya Ufaransa.
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Kherson, hili shamba wameacha wamepanda mabomu, Wakulima wakija wafe. Tunawekea alama. Yaani kila sehemu unayoiwaza kichwani mwako, wametega mabomu. Kwenye swimming pools madaraja nk. Walijua Ukraine wataingia kichwa kichwa. Frontline wamecreate njia mpya maporini. Au wanategua ndo wanapita.
 
Kumbe ndiyo maana walikuwa wanalazimisha wananchi wote waondoke.

Hata hivo Ukraine wako vizuri. Eneo walilosonga mbele kwa jana ni kubwa sana. Mpaka Jumapili huenda jiji la Kherson lote litakuwa mkononi mwa Ukraine.
 
Na Ukriane wakishakamata sehemu sasa hivi wakaweka line yao, kuwaondoa ni kazi. Watu wameshaiva.
 
Hivi vifaru vya Frontline huku Kherson sio mali ya Ukraine wala vilivyo tolewa msaada kwa Ukraine, bali ni vifaru tulivyoteka kutoka Urusi ndo vinatangulia kuwamaliza waliovileta Ukriane
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…