figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,481
Sijui wanaficha wapi sura zao. Sijui wqtatuambia nini. Kwa ufupi ni Mikoa yote inarudi. SifutiPro Russia hawana hamu hizi siku mbili. Eti walishaanza kusema Kherson ni Urusi. Sijui sasa watasemaje, kwa akili yao watasema ukraine imevamia Kherson. πππ
Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!Pro Russia hawana hamu hizi siku mbili. Eti walishaanza kusema Kherson ni Urusi. Sijui sasa watasemaje, kwa akili yao watasema ukraine imevamia Kherson. πππ
Sijaamini macho yangu. Ukraine troops wako katikati ya jiji la Kherson na vifaru vyao. Wilaya zote mbili (2) na mitaa yake yote katikati ya jiji upande wa western bank of Dnipro river zote ziko under control of Ukrainian troops. It is unbelievable.Sijui wanaficha wapi sura zao. Sijui wqtatuambia nini. Kwa ufupi ni Mikoa yote inarudi. Sifuti
Amejidhalilisha mwenyewe hadharani machoni pa mataifa.Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
Watawala wa Kherson wamekimbilia Crimea. Watakuwa wanabweka wakiwa Crimea.Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
Nguvu gani aliyonayo ambayo hajaitumia?Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
Nuclear yake πππNguvu gani aliyonayo ambayo hajaitumia?
Anajua ya kizamani. Inazidiwa na Mbu wa UkraineNuclear yake πππ
Mkwara wa mzee Biden ulikuwa mzito mno. Ilibidi apige u-turn eti hafikirii kutumia nukes. ππππAnajua ya kizamani. Inazidiwa na Mbu wa Ukraine
Pamoja na mkwara ya mrusi kuamuru wananchi waondoke. Kumbe wengine waligoma kabisa.Wananchi wa Chornobaivka wanalia kwa furaha
View attachment 2413459