Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nina maana eastern bank of Dnipro river kwa maana mkoa wa Kherson wote. Maana hata Ukraine ni lazima waikomboe kwanza Zaporizhzhia kwanza ndo wataikomboa kherson yote.
Usihofu. Subiri utaona mchezo utakavyo chezwa. Ndo maana tulisema Mwezi wa Nov hauishi kabla Urusi hawajaondoka. Tuliona wamelegea tangu tarehe 01 Nov. Just relax my dear
 
Leo wamechapwa sana, halafu walikuwa hawajibu sababu washafungasha mitambo na silaha ziahazimwa. Ratiba iliendelea kama kawaida upande wa Ukraine. Walishazidiwa nguvu ndo maana wakaondoka
 
Hii inaitwa HIMARS. Sasa zimewekwa sehemu nzuri ambayo hata Urusi walipokimbilia inafika
View attachment 2413584View attachment 2413585
Shikamoo HIMARS. Ni siliha mujarabu sana iliyomzibua Mrussi kiburi chake. Hatokaa aisahau hii kitu. Mathalan ikatokea kwamba huko alikokimbilia Mrussi, mtu akatupa kikaratasi kimasihara chenye picha ya HIMARS, Mrussi akikiona lazima moyo uende mbio.
 
Hapa ni katikati ya Mji wa Kherson. Hadi kufika kesho asubuhi, Vikosi vyote vitakuwa hapa. Askari wa Ardhini wameshafika.
View attachment 2413463
Aisee! Hongereni sana na tunawapongeza wapiganaji wa Ukraine kwa kazi nzito na iliyotukuka ilivofanyika na kupelekea ushindi wa kishindo. Hata wale Pro-Ukraine wa kule Umasaini ndani-ndani huko nimewasikia wakishangilia na kuimba kwa lugha ya kimasai ara'nanu-alo-Aaaa; Ukraine supat' Aaaa wakiwapongeza wapiganaji wa Ukraine. 👏 👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…